Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume ndo wameshika mpini nyie mmeshika makali, mpo hapo!
 
kila ajishushaye hukwezwa na na kila ajikwezaye hushushwa, muungwana hukiri alipokosea na kuomba suluhu, huo ndio ujasiri, bali wakaidi wengi daima huishi kwa hofu n they're too defensive kwenye kila jambo kwakuwa hawana ujasiri wa kusimama kwenye ukweli na haki
 
Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yeye mwenyewe....anyway.....dada tafuta kitabu kiitwacho Secrets of Men Every woman should Know!.....utapata tu jibu...
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

Usemayo ni kweli kabisa dada angu gfsonwin na ninakubaliana na wewe kwa 100%. Zipo sababu nyingi zinazosababisha hii hali lakini sababu ya msingi ambayo mimi naiona ni inatokana na mwenendo wa maisha ya mtu kuanzia alipolelewa na kukulia pamoja na tabia ya mtu husika hivyo vingine vyote huwa ni visingizio tu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.
Toka lini mkubwa akakosea? Jamani, "mtu mzima hajambi"! Hata akijamba watoto (walio kwenye eneo la tukio) ndo wanaotakiwa kuomba msamaha kwa kusikia baba yao namna akijamba!
 
Sisi wanaume mara nying tunakuwa hatupendi kushindwa na wanawake,kwani tunachukulia kuwa sisi ni viongoz kwao, na vilevile ni njia moja ya kuonesha kuwa sisi majasiri ambao tunaweza kukabili na matatizo yanayotukabili..
ILA KUOMBA MSAMAA ENDAPO UMEKOSEA KWELI HAIONESHI KUWA WEWE NI DHAIFU BALI NI NJIA MOJA YA KUTATUA MATATIZO.
 
Yupo Mwanafalsafa mmoja anaitwa Baron De Montesquie, aliwahi kuongea maneno ya msingi sana ktk fani ya utawala! Alisema "Not all human being are equal, women are weaker than men, more over, men were created to rule the world of women" Hivyo basi, waacheni waume zenu wawaongoze kwa msisingi bora waijuayo!
 
unakuta mtu kalelewa kwenye family ambayo anaona mama siku zote ananyanyaswa, na hajawi kuona baba anaomba samahani hata siku moja. what do expect out of this man!
Nakuunga mkono kwa 101% , yaani unakuta mama yake tangu ameolewa anadundwa kila siku, manyanyaso, analetewa wanawake wengine ndani ya nyumba na hasemi kitu, yaani full manyanyaso, na baba mbabe kishenzi wewe unafikiri ukiingia kwenye hiyo familia huyo mumeo atakuomba msamaha? hawezi kwa sababu baba yake hakuwahi kulifanya hilo."UKITAKA KUJUA TABIA YA MTOTO ANGALIA WAZAZI WAKE UTAJUA "
 
Last edited by a moderator:
Si kwamba huwa hatuombi msamaha. Mwanaume wa kweli huomba msamaha kwa bosi wake. Na bosi wa Mwanaume ni MUNGU. Nikikukosea napiga magoti mbele ya Mungu kuomba msamaha, si kwako bana. You are my woman, usisahau. My property for God's sake.

CC: Fidel80, Kaizer, @Vmark, Arushaone, Erickb52, Filipo kwa utekelezaji

BCC; gfsonwin, Zion Daughter, BADILI TABIA et el, kwa taarifa na usambazaji wa taarifa.
Afu wewe si unajua nina kesi na wewe?? nitake radhi haraka aka omba msamaha
 
Hiyo topic nzuri offcourse nimeipenda ila ninachoweza kusema nikwamba cjui wanaume wamekuwa na tabia hii.Nasema wanaume coz mimi ni mvulana bado cjafika huko.Niseme always failere comes 2 those who became unsuccess councious hivyo hata wakibaba wenzangu nilazima tuachilie mbali fikra sizizojenga ili kuwa na maelewano kati. What's up
 
Last edited by a moderator:
Si kwamba huwa hatuombi msamaha. Mwanaume wa kweli huomba msamaha kwa bosi wake. Na bosi wa Mwanaume ni MUNGU. Nikikukosea napiga magoti mbele ya Mungu kuomba msamaha, si kwako bana. You are my woman, usisahau. My property for God's sake.

CC: Fidel80, Kaizer, @Vmark, Arushaone, Erickb52, Filipo kwa utekelezaji

BCC; gfsonwin, Zion Daughter, BADILI TABIA et el, kwa taarifa na usambazaji wa taarifa.

hahahah! niseme nisisemeee???

unakumbuka siku ileeeeeeeee hadi nikakuokolea jahazi?? uliomba hukuomba???
 
Afu jamani kuna wadada wawili wamepotea au ndo mambo ya Tanga? eti cacico na Paloma wapo wapi?

mwali weee cacico yuko ukweni kule full nidhamu yeye na snowhite wanalea ndoa atii.

hapa ndo watu wajue kwamba wanawake wa jf hasa cc huwa utani ni hapa kwenye key bodi tukirudi home ni wamama, wake na wakamwana wa nguvu. nidhamu hadi miguuni.
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee
copy kwa mwaJ

Halafu wewe Erickb52 na vimacho vyako hivyo vyeupe tutakuja gombana siku moja! Shauri yako! Yaani unani copy kiushabiki kiasi hicho! Nimeichana copy bila kuisoma. Na huyo rafikiyo babu Asprin naona anazeeka vibaya. Eti anaita mwanamke "property" yake! Kwani ni shamba au gari hilo? Khaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom