Ndiyo maana wakina dada mkipata kidume muwindaji au hata (play boys) mnaingia mkenge kiulaini sanaaa...Huwa mnatumia vipimo dhaifu sana kutambua upendo wa mwanaume.Safi Sana! Mwanamume wa Kibongo angeona aibu kumbebea mkewe mizigo!
Kwani mlitaka msiwe na kazi? Kwa wengine huo ni upendo. Kwa mswahili huo ni utumwa! Ni suala la wewe uko upande gani. Hata hivyo kusaidiana ni muhimu kuliko kumwachia mzigo.