Wanaume tuna Kazi Mweeeeee

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
148857_501012306592951_393796920_n.jpg
 
Kwani mlitaka msiwe na kazi? Kwa wengine huo ni upendo. Kwa mswahili huo ni utumwa! Ni suala la wewe uko upande gani. Hata hivyo kusaidiana ni muhimu kuliko kumwachia mzigo.
 
Viatu vizuri hivyo,lol
kaka anajua akitakacho maishani. Hiyo mpododo ukiwa umebeba mizigo mtikisiko unakuwa sio sawa. Raha yake uwe free hivyo, mkifika home udenda umeshakauka. Naiwazia tu wallet ya kaka wa watu hehehehe.
 
Mimi nisingemsumbua kwenda nae shopping, ningemwambia anipe shoppimwg list yeye abaki kupumzika home, PakaJimmy mambo!?
 
Last edited by a moderator:
Safi Sana! Mwanamume wa Kibongo angeona aibu kumbebea mkewe mizigo!
Ndiyo maana wakina dada mkipata kidume muwindaji au hata (play boys) mnaingia mkenge kiulaini sanaaa...Huwa mnatumia vipimo dhaifu sana kutambua upendo wa mwanaume.
Acha huyo mdada aruke ruke na "Cat Walk" yake lakini kidume muwindaji haoni shida hata kukupigia goti na kutoa mchozi lakini anajua giza likiingia ataishughulikia vipi....
 
Mimi nisingemsumbua kwenda nae shopping, ningemwambia anipe shoppimwg list yeye abaki kupumzika home, PakaJimmy mambo!?
Mkuu Baba V, mambo safi bosi wangu...mi sirudi tena Chit-Chat bana...kule wakubwa mmemiliki kila idara...acha mi niendelee na mastress kama hivi!
 
Last edited by a moderator:
Nahisi kama hamjui MAP INTERPRETATION! Huyu mshkaji katoka zake shopping, chombo nacho kilikuwa katika WINDOW SHOPPING, wakati mshkaji anatoka na mafurushi ya bidhaa hiki chombo kikaona kitumie nafasi ya ushawishi wake ili kama vipi hiyo mizigo imuhusu! Kwa sbb jamaa anaonekana hana time kabisa na huyo mwandafada, ila mdada amepita kwa speed 120 ili amuachie vumbi mshkaji, na kwa tabia halisi ya mwanaume hatoona tabu kumkabidhi hizo bidhaa mwanadada hata kama alikuwa kamnunulia mama ake mzazi! Ni mawazo yangu tu!
 
Huyo jamaa hal huo mzigo, inaonekana ni msaidiz wake, tizamen myenendo yao na mionekano ya sura, wapenz hawaw hivyo..!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom