Wanaume tuna Kazi Mweeeeee

Nahisi kama hamjui MAP INTERPRETATION! Huyu mshkaji katoka zake shopping, chombo nacho kilikuwa katika WINDOW SHOPPING, wakati mshkaji anatoka na mafurushi ya bidhaa hiki chombo kikaona kitumie nafasi ya ushawishi wake ili kama vipi hiyo mizigo imuhusu! Kwa sbb jamaa anaonekana hana time kabisa na huyo mwandafada, ila mdada amepita kwa speed 120 ili amuachie vumbi mshkaji, na kwa tabia halisi ya mwanaume hatoona tabu kumkabidhi hizo bidhaa mwanadada hata kama alikuwa kamnunulia mama ake mzazi! Ni mawazo yangu tu!

Ni kweli mkuu na huenda ni wale vijana wa sijui kampuni ya Kisusi Mohd marketing Company ambao wanauza bidhaa huku wameripuka hasa, sasa hapo alimsemesha demu akamzingua na jamaa akawa serious ghafla
 
Viatu vizuri hivyo,lol
kaka anajua akitakacho maishani. Hiyo mpododo ukiwa umebeba mizigo mtikisiko unakuwa sio sawa. Raha yake uwe free hivyo, mkifika home udenda umeshakauka. Naiwazia tu wallet ya kaka wa watu hehehehe.

Tamaa hiyo, mie nishakula mahari yangu. Usitake nitemeshwe bure, ukiachika utalipa mwenyewe............LOL
 
Nahisi kama hamjui MAP INTERPRETATION! Huyu mshkaji katoka zake shopping, chombo nacho kilikuwa katika WINDOW SHOPPING, wakati mshkaji anatoka na mafurushi ya bidhaa hiki chombo kikaona kitumie nafasi ya ushawishi wake ili kama vipi hiyo mizigo imuhusu! Kwa sbb jamaa anaonekana hana time kabisa na huyo mwandafada, ila mdada amepita kwa speed 120 ili amuachie vumbi mshkaji, na kwa tabia halisi ya mwanaume hatoona tabu kumkabidhi hizo bidhaa mwanadada hata kama alikuwa kamnunulia mama ake mzazi! Ni mawazo yangu tu!

angekua amebeba handbag ningekubali theory yako.
jamaa ni dereva wangu na huyo wa mbele ndo mke wangu
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1351491714.216559.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1351491714.216559.jpg
    11 KB · Views: 81
Ila mungu huyu! sasa akina yakhe wenye viubapa na vigoko alituumba akiwa kachoka au alimtuma malaika atuumbe?
 
Kuhusu kubeba hiyo mizigo hakika with me no problem at all - ni moja ya namna ya kuonesha upendo kama mmoja wa wachangiaji alivyosema hapo juu. Lakini mbona dada anatabasamu zuuuuri wakati kaka hana tabasamu usoni. Unafikiri anawaza nini? ..... wallet yake ha haa haa
 
ingawaje sura yake ni kama ya bibi yake vile ila shape ipoo,ndo maana mjomba kakolea,aaf angalia alivyokuwa mchokozi alichokifanya kifuani,atakuwa anaweza sana huyu
 
Mi huyu ningembeba mgongoni pamoja na hiyo mizigo, nikimfumania na mtu naachia kilio tu afu namuomba anisamehe asiniache...
 
Nyie mnaongea kama watoto bana...!!! mie hata gunia nabeba mbele ya hilo t.a.ko.... ila malipo yake ka ni mke wangu najua mwenyewe....!!! Kubeba hivyo vijikapu vinawasumbua.... mkikua mtajua nasema nn...!!!
 
Back
Top Bottom