Kuanzia leo sinunui kazi za Jide na nachoma moto vi CD vyake, iweje amdharirishe mlevi mwenzetu? aaaaghhhh
Hivi, Gardner ni golikipa?
Hana kipato kama wengine?
Kwa nini anaitwa Mario?
Au kwa vile kwenda kuishi nyumba ya mke?
Ama kwa vile alikuwa akitumia magari/ mali za Jide?
Huku usu-kumani ukienda kuishi kwa mwanamke lazima ukoo wakuitie mganga wa kienyeji kukutibu,ikishindikana unatengwa.
Hahahahahaha duh
Kaizer, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Paloma, sister, Heaven on Earth hebu kujeni pande hii mumsome ukawa mwenzenu. lol
Mi nimehamia TLP
Kwetu uchagani unatengwa na ukoo.
Wanaopenda kitonga madhara yake ndo haya!!Hahahahahaha duh
Kaizer, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Paloma, sister, Heaven on Earth hebu kujeni pande hii mumsome ukawa mwenzenu. lol
Mi nimehamia TLP
Kama anaona social media ndio solution ajimwage tu. Kwanza ajibu shutuma za mke wake wa zamani kuwa alikuwa akishika matako ya wanawake wengine Wakati mkewe akipiga show ukumbini. Pili ajibu hili la maombi ya tigo kwa wife!:lol::lol:
Hakuna cha ajabu hapo, kwa mtu wa Tanga hiyo ni common mwanaume kuhamia kwa mwanamke au hata kuishi kwa wakwe zake. Kwahiyo GGH alikua anatekeleza sehemu ka utamaduni
Mkuu umeshinda, G KAMUACHA JIDE, G hakufugwa ila alikuwa anasogeza muda mbele. haya funga mjadala basi.
Hahahahahaha duh
Kaizer, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Paloma, sister, Heaven on Earth hebu kujeni pande hii mumsome ukawa mwenzenu. lol
Mi nimehamia TLP
Alimtelekeza Mke kumbe!!!! Hapahapa duniani!!! Ila hapaswi kumjibu huyu Mvunja ndoa ya Mbebe Mkarez
Na wala alikua hana haja ya kucomment,kacomment ndo kaonesha kutokujua kwake kuandika,sijui kwa kalamu akiandika inakuaje,nadhani inakua kama kindergarten,lol!I wish huyu mtu angepewa BAN ya nguvu ili akajifunze lugha vizuri.Maana ni mchafuzi wa Lugha.