Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,891
- 141,556
Taasisi ya kinafiki!
It is.
Watu wanalishana yamini ya kuwa waaminifu huku wanafichana simu zao, ama wako humu, fesbuk, twitter, instagram, na kwingineko huko wanatafuta mabwana na mabibi, au wako kitaa wanachepuka.
Enough with the sugarcoating.
It's about time we start calling it for what it is.