Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,948
- 146,176
Nyani Ngabu
Naongea kutoka kiumeni kama mwanamme, na kwa kuwa subject Gardner ni mwanamme.
Kusema kwamba mwanamme anatakiwa kuyaona matatizo kutoka maili 10,000 hakumaanishi kwamba mwanamke hatakiwi, kunaweza kuwa kunamaanisha tu kwamba hapa tunaongelea mwaname.
Kumpa majukumu mwanamme ya kuwa muangalifu ili asiiweke famikia kwenye matata na kitajwa vibaya na watu si mfumodume, ni uangalifu na kulinda staha za unyumba ndani na hata nje ya unyumba.

Last edited by a moderator: