Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Gadna alilelewa na jide kama mtoto leo analeta zarau. Kampotezea jide muda huku akijuwa yeye Ni Mario tu.

Mwanaume kama binti tu.

sasa umario wake uko wapi wakati ndo kajitoa hivyo ili naye aonekane mtu katika watu
 
Hakuna kibaya alichoandika GGH, na wala siamini kuwa alitaka kweli kukubaliwa na wadau wa insta ili afunguke....ama kuandika zile husani za eFm, wadau wake...mie nafikiri he was being sarcastic zaidi ya kuwa real....its like playing with one's mind....wala hakuna sababu ya kumdharau coz hata hatujui upande wa pili wa coin unasomekaje, wakati mwingi wapendanao wakitibuana wanaanza kuropoka maneno ambayo naamini hata Jide karopoka tu coz kidonda kinauma...!

Mbona wewe ulivyoachwa hukuropoka, hahaa haa
 
Kwa sababu ya kushindana na mwanamke. mwanaume kamili hawezi kushindana na mwanamke aliyekuwa analala nae kwenye media. NIMEMDHARAU.

Ushaambiwa na Jide "Wanaume kama mabinti".

Mwanamme wa shoka hata kama anaachana na mwanamke wanaachana kwa maelewano kiasi kwamba habari za tofauti zao za ndani zinabaki ndani tu.

Ukishaona mwanamme ameachana na mwanamke halafu kuna mzozo wa hivi unaona kuna matatizo katika level mbili.

1. Uchaguzi wa mwenza ulikosewa tangu mwanzo kiasi kwamba haikuwezekana kuelewana hata katika kuachana.

2. Hata kama uchaguzi haukukosewa tangu mwanzo, wanandoa wamekosa common courtesy ya kufanya "amicable divorce".

Mwanamme anatakiwa kuwa anayaona matatizo kutoka maili 10,000 kabla hayajamfikia.

Gardner kashindwa katika levels nyingi sana hapo, na katika kuendelea kuuliza instagram ajibu au asijibu anajionyesha bado ana utoto zaidi ya uanamme.
 
Ila kamwanamke kanadharau sn. Halafu kanalalamika kupigwa wkt kwa mujibu wa wajita mwanamke kupigwa ni ufahari
 
Kiranga
Dah!! Asante sana. wewe kweli mwanaume sina shaka,
mimi nimeshindwa kumuelewa alikuwa na sababu gani kuuliza inst, ni utoto uliopitiliza kwa jitu kubwa kama lile kufanya ivo. pfyuuuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Halafu utashangaa kuna mwanamke ataokota hicho kituko akiweke ndani! Tasikia

Yaani we acha tu, hana muda mrefu atakuwa ndani ya himaya fulani, hapendezi hata kuwa mario jitu kubwaaaaaaaaaaa, pfyuuuuuuuuuuuuuu!!!!
 
Tabu ya wanawake ni kwamba atafanya kitu akiwa na mapenzi mazit kwako lakini yakiisha atakudhalilisha ili uonekane huna maana, hakuna haja ya kumjibu ni kuchapa lapa tu na maisha

Njaa inamsumbua!
 
Naona povu linawatoka kumtete mwanaume mwenzenu, haya bhana anamakosa aliyemfuga.

Utakuwa na matatizo ya maono wewe!

Povu kwenye hilo bandiko langu liko wapi?

Hakuna anayetetewa hapa.

Kama kuna kichotetewa basi ni haki, usawa, na uwiano.

Kumhukumu mtu bila kusikia upande wa maelezo yake ni kilele cha upumbavu na ujinga.
 
Mwanamme anatakiwa kuwa anayaona matatizo kutoka maili 10,000 kabla hayajamfikia.

Khaaaa!

Kumbe na wewe bado unasumbuliwa na mfumo dume.

Ina maana mwanamke hatakiwi (hawezi) kuyaona matatizo kutoka maili 10,000 kabla hayajamfikia?

Duuh! Haya bana.
 
Kwa mtazamo wangu hiyo ni kweli kabisa na wengi wenye mtazamo tofauti nadhani ni ama wako kwenye denial au wanasumbuliwa na ujinga (ujinga si tusi btw, ni ile hali ya kutojua au kutokufahamu jambo au kitu fulani tu).

Na tusiende mbali. Tuanze na humu humu JF.

Ni wanandoa wangapi humu ambao wenza wao wanajua kuwa wamo humu?

Na kama wapo wanaojua, ni wangapi hata wenye access na PMs za wenza wao?

Kama wana access, wana access ya accounts ngapi ukizingatia mambo ya multiple IDs?

Ni wanandoa wangapi humu huwa wanapinga wenza wao kushika simu zao (a dead giveaway in my opinion)?

Kwa nini hawataki waume au wake zao washike simu zao? Kuna nini humo kwenye simu?

Eti wanaonyeshana nyeti zao lakini ikija kwenye simu hapana, kila mtu ashike yake!! Vichekesho tupu!!

Ni wanandoa wangapi waliomo humu JF ambao huwa wana flirt flirt na members wengine, iwe kwenye threads au kwenye PM?

Ndoa nyingi zimejaa unafiki na wanafiki tu.

Kajambe ukooooo
 
Back
Top Bottom