Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Last edited by a moderator:
Hivi, Gardner ni golikipa?
Hana kipato kama wengine?
Kwa nini anaitwa Mario?
Au kwa vile kwenda kuishi nyumba ya mke?
Ama kwa vile alikuwa akitumia magari/ mali za Jide?

Huku usu-kumani ukienda kuishi kwa mwanamke lazima ukoo wakuitie mganga wa kienyeji kukutibu,ikishindikana unatengwa.
 
Huyu jamaa anataka kurudi kwenye enzi za utoto wakati ameshakuwa mtu mzima?? Na anajua wazi kuwa jide ni muwazi ila anataka kuingia kwenye vita ya maneno.

Itamuharibia sana
 
Kama anaona social media ndio solution ajimwage tu. Kwanza ajibu shutuma za mke wake wa zamani kuwa alikuwa akishika matako ya wanawake wengine Wakati mkewe akipiga show ukumbini. Pili ajibu hili la maombi ya tigo kwa wife!:lol::lol:

Hizi ndoa ni htr jaman hv kila mtu alete yake humu nadhan itakuwa ni fujo
 
Hakuna cha ajabu hapo, kwa mtu wa Tanga hiyo ni common mwanaume kuhamia kwa mwanamke au hata kuishi kwa wakwe zake. Kwahiyo GGH alikua anatekeleza sehemu ka utamaduni

Mh mh mh mhhhhhh
 
Mkuu umeshinda, G KAMUACHA JIDE, G hakufugwa ila alikuwa anasogeza muda mbele. haya funga mjadala basi.

Hapana.

Mimi sishindani na wewe hivyo sijashinda chochote.

Nimekuhoji mambo kadha wa kadha na ni wazi huna majibu.

Siwezi kufikia hitimisho kwa sababu bado sijasikia maelezo ya kinagaubaga toka kwa upande wa pili.
 
Tangu nilipomwona Gadna anakakumbatia na kukashikashika matiti na makalio kabinti wakati akijua Jide hayupo mbali naye nilimdharau kweli kweli. Hata kana ilikuwa pengine ni kwa sababu ya pombe, maana alikuwa tilatila
 
hiyo ndio hasara ya mwanaume kulelewa n mwanamke! iko siku tu atakubwaga na madhara yake ndio km haya mwanaume mzima kabisa unalialia hadharani namna hii.

mwanaume kupambana, tafuta vya kwako mzee!
 
Alimtelekeza Mke kumbe!!!! Hapahapa duniani!!! Ila hapaswi kumjibu huyu Mvunja ndoa ya Mbebe Mkarez

malipo hapahapa alimuacha mdada mkare mama caren huyo mdada baadae akaolewa na pedeshee gadner nae akaolewa na komando hureee
 
I wish huyu mtu angepewa BAN ya nguvu ili akajifunze lugha vizuri.Maana ni mchafuzi wa Lugha.
Na wala alikua hana haja ya kucomment,kacomment ndo kaonesha kutokujua kwake kuandika,sijui kwa kalamu akiandika inakuaje,nadhani inakua kama kindergarten,lol!
 
Back
Top Bottom