Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Kapten anajidhalilisha kupambana na huyu dada , huyu dada ni mwiba mchungu , kama kapten haamini akawaulize clouds media...
 
Kama anaona social media ndio solution ajimwage tu. Kwanza ajibu shutuma za mke wake wa zamani kuwa alikuwa akishika matako ya wanawake wengine Wakati mkewe akipiga show ukumbini. Pili ajibu hili la maombi ya tigo kwa wife!:lol::lol:
 
You need to apologise..! Umemdharau for which reason? Or you are searching for popularity..?

Kwa sababu ya kushindana na mwanamke. mwanaume kamili hawezi kushindana na mwanamke aliyekuwa analala nae kwenye media. NIMEMDHARAU.
 
Kwa sababu ya kushindana na mwanamke. mwanaume kamili hawezi kushindana na mwanamke aliyekuwa analala nae kwenye media. NIMEMDHARAU.


Hakuna kibaya alichoandika GGH, na wala siamini kuwa alitaka kweli kukubaliwa na wadau wa insta ili afunguke....ama kuandika zile husani za eFm, wadau wake...mie nafikiri he was being sarcastic zaidi ya kuwa real....its like playing with one's mind....wala hakuna sababu ya kumdharau coz hata hatujui upande wa pili wa coin unasomekaje, wakati mwingi wapendanao wakitibuana wanaanza kuropoka maneno ambayo naamini hata Jide karopoka tu coz kidonda kinauma...!
 
Kwa sababu ya kushindana na mwanamke. mwanaume kamili hawezi kushindana na mwanamke aliyekuwa analala nae kwenye media. NIMEMDHARAU.

Kwanza, hayo mambo ya sijui mwaname kamili ni upuuzi na usasili tu.

Pili, huyo bwana kashindanaje na huyo mwanamke?
 
tatzo jide ni mgumba,kwenye yeyote ile mtoto ni kiunganishi cha familia hivyo kukosekana kwa mtoto miaka hiyo 10 ya ndoa ndo imeleta majanga hayo
 
Hakuna kibaya alichoandika GGH, na wala siamini kuwa alitaka kweli kukubaliwa na wadau wa insta ili afunguke....ama kuandika zile husani za eFm, wadau wake...mie nafikiri he was being sarcastic zaidi ya kuwa real....its like playing with one's mind....

Naam, hata mimi ndo take yangu hiyo. Na hakuna chochote kibaya alichokiandika, kama ulivyosema.

wala hakuna sababu ya kumdharau coz hata hatujui upande wa pili wa coin unasomekaje, wakati mwingi wapendanao wakitibuana wanaanza kuropoka maneno ambayo naamini hata Jide karopoka tu coz kidonda kinauma...!


Ni kweli kabisa. Huyo bwana yeye hajafunguka ya upande wake.

Halafu, mara nyingi watu wakiwa na machungu na/ au hasira (nasadiki huyo mwanamke bado anazo hizo hisia) huwa wanasema mambo kuvutia upande wao na nyakati zingine huongeza na chumvi.

Sielewi kwa nini watu wanakuwa wepesi wa kuchotwa na upande wa maelezo ya huyo mwanamke tu.

Je ikija kugundulika na yeye alikuwa na mchepuko wake pembeni?
 
Hiyo ''umario'' ndiyo nini aisee mbona inarudiwa, rudiwaa mara nyingi?
 
tatzo jide ni mgumbakwenye yeyote ile mtoto ni kiunganishi cha familia hivyo kukosekana kwa mtoto miaka hiyo 10 ya ndoa ndo imeleta majanga hayo


Dah.. Hiyo ngumu kumeza. Binafsi nisingependa kuzungumzia hilo lakini ukweli ni kuwa familia nyingi za kitz mtoto akikosekana nyumba huwa inawaka moto. Tatizo dogo tu tayari mambo ya insecurities na lawama yanaanza...! Kweli hapo nampa pole Jide.
 
Nyani Ngabu
Kabisa comrade. Afu watu husema eti kaandika 'kwa hisani ya...', ni uthibitisho wa kuwa 'mario'. Kwani EFM anafanyiwa hisani au anafanya kazi?
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu
Unabidi ufungue thread kuhusu hii mada,kila siku nasema ndoa ni unnatural.
 
Last edited by a moderator:
Gadna alilelewa na jide kama mtoto leo analeta zarau. Kampotezea jide muda huku akijuwa yeye Ni Mario tu.

Mwanaume kama binti tu.
 
Back
Top Bottom