Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Hakuna haja ya kushindana na mwanamke...wewe ndio utaonekana dhaifu
 
What goes around comes around.

I can imagine the look on his first wife's face
 
Gardner kama mwanaume kweli atakaa kimya. Ma fesibuku na matwita saivi...?! Loooh kaaazi mpaka miaka 50 mnakimbilia mtandaoni mkiachana watu mlovuliana pichu?! Mburaaaa!!!
 
Huyu jamaa anataka kurudi kwenye enzi za utoto wakati ameshakuwa mtu mzima?? Na anajua wazi kuwa jide ni muwazi ila anataka kuingia kwenye vita ya maneno.

Itamuharibia sana
Siyo muwazi ni mjinga.kwani hata kama huyo jd ndio alikuwa anaprovide kulikuwa na sababu gani ya kutangangaza kwenye public kama si alitaka kumdhalilisha.?anaonekana ana roho mbaya sana.
 
Siyo muwazi ni mjinga.kwani hata kama huyo jd ndio alikuwa anaprovide kulikuwa na sababu gani ya kutangangaza kwenye public kama si alitaka kumdhalilisha.?anaonekana ana roho mbaya sana.

Hawa jamaa wa mitandaoni ni matatizo sana
 
Ubungoubungo
Mkuu na hicho kitafanyika kama hata captain alikuwa anaenda tu kusimamia mafundi hata hatoi mia huo ni mchango tosha na ana haki yake hapo!captain
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, #VJM ndo nani tena?
Nacheka kama mazuri,nampenda sana jide na kwa ajili ya mziki wake. Gadner nilipenda support aliyokuwa anampa mkewe. Seen a few gestures between them nikaona wanapendana. Ila kwa hili jide anachemka. Ingetosha kusema ilikuwa ndoanyenye physical and emotional abuse akaishia hapo. Too much info sijui za kushika makalio wahudumu blah blah
huyu nae mwanaume kama binti

Robbyone duka la nguo hilo mdau..

Afanye kazi aache umario

Mwanaume pesa maneno aachie taarabu
 
Ikiwa mtu amefanya kosa alafu akawa na uwezo wa kujichunguza/ kugundua amekosa ajue Mungu alimpa zawadi kubwa. Watu wengi wameikosa hii zawadi unamwangalia amekosana na kila mtu lakini bado anaona yupo sahihi. Kama una uwezo kujitathimini na kugundua makosa yako mshukuru Mungu hakukunyima hii
 
Miaka iliyopita
 
Attachments

  • 1424149749114.jpg
    1424149749114.jpg
    12.8 KB · Views: 226
Mwanaume ukikubali kuolewa ujue ipo siku unaweza kupewa talaka.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
jide anatoa machungu..... sema tu kasahau kuwa wakati mwingine heri kukaa kimya

Hehehe, #VJM ndo nani tena?
Nacheka kama mazuri,nampenda sana jide na kwa ajili ya mziki wake. Gadner nilipenda support aliyokuwa anampa mkewe. Seen a few gestures between them nikaona wanapendana. Ila kwa hili jide anachemka. Ingetosha kusema ilikuwa ndoanyenye physical and emotional abuse akaishia hapo. Too much info sijui za kushika makalio wahudumu blah blah
 
Wanawake mnao m-support Jide jiangalieni mara mbili mbili kama mnafaa kuwa wife materials???
 
Back
Top Bottom