Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,629
- 19,974
Jamaa yako kashalishwa limbwata na kufanywa ndondochaa.
Wala sio kazi, hao wapo kwa ajili yetu.ni kazi sana aisee
Jamaa una confidence sana kama ww ndo umemuumba uyo mwanamke. Usikute hapo kila mtu ashiki simu ya mwenzake, hizi shida azinaga mwenyewe.
acha tu, wala usiyaongelee...
Ila sishangai maana na mm nilikuwa hivyo hivyo mwanzo. 😂😂acha tu, wala usiyaongelee...
mods wametoa, na mods wametwaa
Acha uoga kijana, hao ni wetu.Jamaa una confidence sana kama ww ndo umemuumba uyo mwanamke. Usikute hapo kila mtu ashiki simu ya mwenzake, hizi shida azinaga mwenyewe.
Safi sana, mimi nilipigwa ban ya milele eti niliharibi uzi kwa kujadili vitu nje ya mada, hivi tangu lini huo uzi ukawa na mada mahsusi?acha tu, wala usiyaongelee...
mods wametoa, na mods wametwaa
Kuaniza leo ntakuwa mwanafunzi wako. Maana mpaka nashangaa. Unipe mifumo ya kuishi nao awa viumbeAcha uoga kijana, hao ni wetu.
Niko aware na changamoto zao but kama mwanaume lazima uibuke mshindi kivyovyote😅
Muhusika ni wewe na huyo mwanamke wako usipofanya namna yeyote ile ukampa mimba hakika itakula kwako.Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.
Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.
Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.
Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!
Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!
Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..
Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...
NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetoa chuma cha mo
Tena nimesitiri kidogo nilitaka niseme muuwe tu 😄 🤣Mkuu umetoa chuma cha moto😁
Tupe madiniMsiwaogope wanawake, lakini kuweni makini na wanawake katika uchaguzi japo kiuhalisia mwanaume unaweza kung'oa mwanamke yeyote regardless hadhi yako, ni akilo yako tu kqtika convincing power yako.
Ninaposema convincing power imegawanyika katika makundi mengi.
1. Kujenga hoja yaani uongeaji wako
2. Uwezo wa kuchanganua mambo
3. Uwezo wa kumiliki ....
4. Muonekano
Wanawake wanaangukia zaidi katika hizi traps...nk
nina miaka chini ya 30Mh, mahusiano 50!!!! Ulikuwa unashindana na nani? Una mri gani?
kijana namna unavyochat ni vzuri sana unapaswa kuchat short and clearView attachment 2741610View attachment 2741611View attachment 2741612
Usimuonee mwanamke huruma ata kidogo. Ni chombo cha starehe, akiona unamtesa akatafute mwanaume mwengine. Wanawake wapo wengi usikubali mwanamke akupelekeshe ata kidogo.
Kama sio wewe mwenyewe, nakubaliana na ulichosema. Kuna jamaa 1 naye alikuwa kama ulivyoeleza.Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.
Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.
Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.
Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!
Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!
Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..
Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...
NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Et umefungwa kweli 😀
Hahahahah.... mpaka dhambi au siyo?Kiukweli mwanaume wa hivi mm simtaki mwanaume awe na sauti akuzid akili had dhmbi sio mwanaume kilakitu ndio ni ufala
Umenena kwa uchungu sana,kusema ukweli tupo wengi,hata mm nnachukua dozi hapa taratibu.Miaka sita au tano iliyopita kuna jamaa alikuja kupanga mtaani kwetu akiwa mwenyewe. Baada ya muda kuna binti alikuwa anakuja kumtembelea. Baada ya muda kidogo akamzalisha watoto wawili. Jamaa alikuwa ana Gari lakini alikuwa anaenda kazini kwa miguu Gari anaacha nyumbani. Mwanamke alikuwa anakaa nyumbani na ana Housegirl. Na nyumba waliyopanga ilikuwa two bedroom. Pamoja na hayo nyumba ilikuwa na washIng machine yaani gari yule jamaa hakuwa analiendesha mama alikuwa natoka nalo mara moja moja kwenda kutembea mjini. Ujana kugundulika jamaa aliacha mke wa ndoa kuja kumchukua huyu binti. Binti alikuwa mshamba sana wa maisha japo amekulia mjini. Dstv full package lazima, kila wikiendi Dar free market na watoto n.k. Jamaa akaja kupata ajali ya bodaboda just imagine una gari nzima nyumbani unapata ajali ya boda. Alikuwa amepanda bodaboda ikaingia mtaroni. Hapo kazi akafutwa mwanamke akabadilika jamaa akawa mtu wa kukaa nyumbani. Jamaa akaenda kusalimia mkoa kurudi mwanamke alihama na watoto akaomba kila kitu. Bro akakuta nyumba nyeupe. Sasa ni nilimwona mwanamke mjinga kweli. Mtu hauna kazi unahama na watoto na unachukua kila kitu. Watoto utawalisha nini ? Kumbe mwanamke alivyokuwa mjinga aliwachukua watoto akitegemea hela ya matunzo ya watoto apewe na jamaa kila mwezi. Sasa hivi jamaa yuko pekee yake alipopanga anakula kwa kugongea ugali kwa wana mtaani. Mungu ambariki atatoboa tena aisee. Ila jamani hawa wanawake tuangalie akili. Vitu vingine sio muhimu sana sana sana ya kufikiri mbele. Yaani just imagine umepanga na Mwanamke anataka ulipie Dstv kifurushi cha laki mbili halafu unakubali kweli ?Umepanga two bedroom mna watoto wawili kuna washIng machine Mwanamke anataka Housegirl na wewe unakubali kweli ? Mwanaume hakuna mtu atakaye kutetea au kupigania. Tunatafuta kwa shida sana ukitaka kufanikiwa usiruhusu kitu kingine kikupe stress mbali na kazi.
Hapo lazima amuacheMkuu umetoa chuma cha moto😁