Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,330
Ashapigwa mizizi huyoPossibly!! Sa upole gani huo mwanaume sio akili ya kawaida hio!
Ashapigwa mizizi huyoPossibly!! Sa upole gani huo mwanaume sio akili ya kawaida hio!
Nakupa pole sana rafiki yangu kwa magumu unayopitia .Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.
Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.
Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.
Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!
Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!
Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..
Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...
NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli. Kwa uthibitisho upi?Nasikia mara kwa mara wakisema eti mwanamke anamzidi akili mwanamume waliyezaliwa naye siku moja. Inawezekana vijana wa sasa wanaowa wale walocheza nao utotoni na hivyo kuwa control inashindikana au wanashindwa ku assume responsibilities. Hivi ni kweli akili za mwanamke zipo hatua 10 mbele ya akili za mwanamume?
[emoji16][emoji16][emoji16]Sio macho tu, mpaka akili. Yaani mwanamke akianza kusema tuachane unamwambia TUACHANE [emoji1787]. Akikublock, na wewe unamblock. Akiomba hela unamwambia SITAKI [emoji1787]. Ile akili ya kiupwiru ndio inafanya mtu ulegee kwa mwanamke kisa na mkasa K au tako kubwa [emoji1787]. Zamani nilikuwa hivyo, ila baada ya kurudi kwenye nyeto, ni mwendo wa kutembeza BLOCK [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Unaona unafanya ufala na ujinga kisa na mkasa K. Pesa unatafuta kwa shida mno, tena pesa ya halali huwa ni NGUMU sana kuipata, halafu unakuja kunipelekeshapelekesha kisa na mkasa K. Bora nikomae na nyeto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safiiii kabsaHuyu mwanamke nimetongoza hata hajaanza kychakatwa vibomu kama vyote hapa mm najikataa sina hela kila siku ana shida sasa najiuliza huyu si itakua anauza maana hata mapenz hayaja jengeka. Hawa wanawake acha wachakatwe kwa hz tamaa zao
View attachment 2741385
Hamna mwanamke anaemzidi akili mwanaume hata kama mwanamke atakua na degree 3 na mwanaume darasa la 7Nasikia mara kwa mara wakisema eti mwanamke anamzidi akili mwanamume waliyezaliwa naye siku moja. Inawezekana vijana wa sasa wanaowa wale walocheza nao utotoni na hivyo kuwa control inashindikana au wanashindwa ku assume responsibilities. Hivi ni kweli akili za mwanamke zipo hatua 10 mbele ya akili za mwanamume?
Hv ni kwamba wanakua wamelogwa ama?Miaka sita au tano iliyopita kuna jamaa alikuja kupanga mtaani kwetu akiwa mwenyewe. Baada ya muda kuna binti alikuwa anakuja kumtembelea. Baada ya muda kidogo akamzalisha watoto wawili. Jamaa alikuwa ana Gari lakini alikuwa anaenda kazini kwa miguu Gari anaacha nyumbani. Mwanamke alikuwa anakaa nyumbani na ana Housegirl. Na nyumba waliyopanga ilikuwa two bedroom. Pamoja na hayo nyumba ilikuwa na washIng machine yaani gari yule jamaa hakuwa analiendesha mama alikuwa natoka nalo mara moja moja kwenda kutembea mjini. Ujana kugundulika jamaa aliacha mke wa ndoa kuja kumchukua huyu binti. Binti alikuwa mshamba sana wa maisha japo amekulia mjini. Dstv full package lazima, kila wikiendi Dar free market na watoto n.k. Jamaa akaja kupata ajali ya bodaboda just imagine una gari nzima nyumbani unapata ajali ya boda. Alikuwa amepanda bodaboda ikaingia mtaroni. Hapo kazi akafutwa mwanamke akabadilika jamaa akawa mtu wa kukaa nyumbani. Jamaa akaenda kusalimia mkoa kurudi mwanamke alihama na watoto akaomba kila kitu. Bro akakuta nyumba nyeupe. Sasa ni nilimwona mwanamke mjinga kweli. Mtu hauna kazi unahama na watoto na unachukua kila kitu. Watoto utawalisha nini ? Kumbe mwanamke alivyokuwa mjinga aliwachukua watoto akitegemea hela ya matunzo ya watoto apewe na jamaa kila mwezi. Sasa hivi jamaa yuko pekee yake alipopanga anakula kwa kugongea ugali kwa wana mtaani. Mungu ambariki atatoboa tena aisee. Ila jamani hawa wanawake tuangalie akili. Vitu vingine sio muhimu sana sana sana ya kufikiri mbele. Yaani just imagine umepanga na Mwanamke anataka ulipie Dstv kifurushi cha laki mbili halafu unakubali kweli ?Umepanga two bedroom mna watoto wawili kuna washIng machine Mwanamke anataka Housegirl na wewe unakubali kweli ? Mwanaume hakuna mtu atakaye kutetea au kupigania. Tunatafuta kwa shida sana ukitaka kufanikiwa usiruhusu kitu kingine kikupe stress mbali na kazi.
Kuna mmoja hapa mtaani wame pangisha, mke ni house wife ame wekewa mfanyakazi wa nyumbani na wa dukani, duka.liko hapo nje. Na mke.anashinda nyumbani.Miaka sita au tano iliyopita kuna jamaa alikuja kupanga mtaani kwetu akiwa mwenyewe. Baada ya muda kuna binti alikuwa anakuja kumtembelea. Baada ya muda kidogo akamzalisha watoto wawili. Jamaa alikuwa ana Gari lakini alikuwa anaenda kazini kwa miguu Gari anaacha nyumbani. Mwanamke alikuwa anakaa nyumbani na ana Housegirl. Na nyumba waliyopanga ilikuwa two bedroom. Pamoja na hayo nyumba ilikuwa na washIng machine yaani gari yule jamaa hakuwa analiendesha mama alikuwa natoka nalo mara moja moja kwenda kutembea mjini. Ujana kugundulika jamaa aliacha mke wa ndoa kuja kumchukua huyu binti. Binti alikuwa mshamba sana wa maisha japo amekulia mjini. Dstv full package lazima, kila wikiendi Dar free market na watoto n.k. Jamaa akaja kupata ajali ya bodaboda just imagine una gari nzima nyumbani unapata ajali ya boda. Alikuwa amepanda bodaboda ikaingia mtaroni. Hapo kazi akafutwa mwanamke akabadilika jamaa akawa mtu wa kukaa nyumbani. Jamaa akaenda kusalimia mkoa kurudi mwanamke alihama na watoto akaomba kila kitu. Bro akakuta nyumba nyeupe. Sasa ni nilimwona mwanamke mjinga kweli. Mtu hauna kazi unahama na watoto na unachukua kila kitu. Watoto utawalisha nini ? Kumbe mwanamke alivyokuwa mjinga aliwachukua watoto akitegemea hela ya matunzo ya watoto apewe na jamaa kila mwezi. Sasa hivi jamaa yuko pekee yake alipopanga anakula kwa kugongea ugali kwa wana mtaani. Mungu ambariki atatoboa tena aisee. Ila jamani hawa wanawake tuangalie akili. Vitu vingine sio muhimu sana sana sana ya kufikiri mbele. Yaani just imagine umepanga na Mwanamke anataka ulipie Dstv kifurushi cha laki mbili halafu unakubali kweli ?Umepanga two bedroom mna watoto wawili kuna washIng machine Mwanamke anataka Housegirl na wewe unakubali kweli ? Mwanaume hakuna mtu atakaye kutetea au kupigania. Tunatafuta kwa shida sana ukitaka kufanikiwa usiruhusu kitu kingine kikupe stress mbali na kazi.
Hilo lina utopolo wa akili.... 🤣 🤣Hivi navyoandikwa kuna kolo linapeleka hela ya mkopo kwa mke wake
👊Safiiii kabsa
Hahah 😂😂😂😂Unachanganya herufi R na L ktk maandishi yako, utashindwa kuchanganya mke?
Wanatudhalilisha mnoHilo lina utopolo wa akili.... 🤣 🤣
😀😀😀Hilo lina utopolo wa akili.... 🤣 🤣
mbinguni hawaendi watu waoga kama jamaaJamaa Yako ana special seat in Heaven...
😅😅😅😅Jamaa sio muoga na Hela,Hela inatafutwa brombinguni hawaendi watu waoga kama jamaa
SASA KAMA MWANAMKE WAKO ANAKUAMBIA LETE KIASI FULANI CHA FEDHA NA WEWE UNAMPA TU KWA KUHOFIA KUACHWA HUO SIO UOGA?😅😅😅😅Jamaa sio muoga na Hela,Hela inatafutwa bro