Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

Shida vijana wa sasa wanakimbilia sana ndoa, mnakutana miezi michache baadae mnafunga ndoa, Kataa ndoa ni mtego wa unyonyaji. Mwanamke ni chombo cha starehe aipaswi tena narudia aipaswi kumuonea huruma. Sio kila kitu mwanamke umwambie, mzalishe sana mpaka akome. Kuwa bize na maisha yako.

Ila kwa uyu jamaa ni mpumbavu sana kila kitu anamwambia mwanamke. Nadhani jamaa ajiamini kuwa anaweza kuwa na mwanamke mwengine na maisha yakaenda kama kawa. Kaanza mapenzi ukubwani uyu ndomana anaogopa kuachana na huyu mwanamke. Yani kisa mke kila kitu unamwambia, hii ni hatari sana.
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tushapoteza mtu hapa
 
Ukio hivyo ujue huyo demu ana K tamu balaa, mambo kama hayo, jamaa hawezi kusema.
Akuna mambo ya k tamu wala nini hapo, jamaa ni ajiamini kuwa anaweza kuwa na demu mwengine. Asilimia kubwa hapo uyo demu anagawa sana nje ndomana anambana jamaa ili apate sehemu ya kuvuna pesa na ku enjoy na vijana. Jamaa kwanza anatakiwa ajikubali na kuanza kusaidia ndugu zake. Utakuta mwanamke anajenga bila ya jamaa kujua chochote
 
Ni ujinga wa hali ya juu mwanamke kukupelekesha.

Yesu aliwahi sema tuwe watu wa " ndio" na pia " hapana". Lazima uwe mtu mwenye kauli, mwanamke akikupanda kichwani, unampiga chini, kwanini udhuru maisha yako, uchumi wako na future yako kisa mwanamke?

Tabia hizihizi zilimpelekea Samsoni kutobolewa macho.

Naunga mkono hoja.
IMG-20230907-WA0014.jpg
IMG-20230907-WA0012.jpg
IMG-20230907-WA0011.jpg

Usimuonee mwanamke huruma ata kidogo. Ni chombo cha starehe, akiona unamtesa akatafute mwanaume mwengine. Wanawake wapo wengi usikubali mwanamke akupelekeshe ata kidogo.
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimtema huyo mwanamke,, je uko tayari kumpatia huyo jamaa yako huduma zote ambazo mke wake humpatia?
 
1. Si sahihi, mwanamme ni kichwa cha nyumba, lazima awe na maamuzi yote lkn inapendeza asilimia kubwa amshirikishe mwenza wake karibu kila jambo linalohusu familia yake lakini ajitahidi hoja zake ziwe na nguvu ya ushawishi....mke apewe nafasi ya kushauri na ikiwa ushauri wake ni bora pia uheshimiwe.

2. Endapo, narudia endapo mkeo ana akili njema, anajuua kutunza pesa, sio mfujaji sio mbaya akiwa sehemu ya maamuzi katika kipato chenu...lakini huyu wa jamaa SIO MKE MZURI...Sababu anaonyesha mpenda pesa zaidi ya mapenzi yao, asingetishia kuachana.

Kwangu mpenzi akirogwa anitishie tuachane kisa sijampa pesa, yaani mapema asubuhi ninamwambia awahi haraka aende atakako.

3. Haifai kumshirikisha mke/mpenzi kila kitu cha kazini...ni ufala, jamaa hajakua.

4. Nasemaje????
Sio mbaya kumshirikisha mpenzi/ mke kuhusu mali au pesa lkn make sure wewe ndio unakuwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa namna ya kuzitumia au kuendesha miradi naye atii.

Usimfanye mkeo kama kikaragosi yaani asijue kila kitu kuhusu maisha yenu ya uchumi...hilo ni bomu baya litakulipukia baadae...lkn jiridhishe kuwa ni mtu sahihi..

Mimi hutumia kanuni tatu kwa nimpendaye;

1. Comminication ( hapa nahakikisha anakuwa na taarifa muhimu karibu zote lkn zinazohusu hatima yetu kimaisha)

2. Sex ( kumpa haki yake ya kimwili)

3. Money ( ninahakikisha snajua kipato changu)

Kwani mke/mpenzi sio mtumishi wako bali ni mwenza katika maisha hivyo anapaswa kuwa na taarifa muhimu.

Onyo: hakikisha mtu wako ana akili na sio limbukeni kama huyo mke wa jamaa tajwa kwenye uzi.

Kuweni na wake/ mpenzi mwenye akili...fulustopu.
 
View attachment 2741610View attachment 2741611View attachment 2741612
Usimuonee mwanamke huruma ata kidogo. Ni chombo cha starehe, akiona unamtesa akatafute mwanaume mwengine. Wanawake wapo wengi usikubali mwanamke akupelekeshe ata kidogo.
Sio sahihi kusema kuwa usimwonee mwanamke HURUMA haijakaa sawa.

Kama mwanaume unapaswa kuwa na sauti na ushawishi kwa mkeo lakini usimfanye chombo cha starehe.

Utakuwa ni jamii ambayo haijastaarabika.

Mke ukimtreat vizuri na ikiwa ni mke bora, ana mchango muhimu katika familia.

1. Mlezi wa familia huwezi kumgeuza chombo cha starehe.

2. Mwalimu wa wanao huwezi kumpuuza.

LABDA UNAONGELEA MALAYA NA SIO MKEO.
Kwangu mimi mke bora ninampa SPECIAL TREATMENTS lakini akiwa chini ya maamuzi yangu 90%

Nyie ndio mkiuguaga mke anakulipiza visasi vyote.

Nina jirani yangu alikuwa mtesi mkubwa wa mke...sasa jamaa anaugua lkn mke ameshikamana na watoto na kumtenge mmewe...mke anakula bata hatari
 
Shida vijana wa sasa wanakimbilia sana ndoa, mnakutana miezi michache baadae mnafunga ndoa, Kataa ndoa ni mtego wa unyonyaji. Mwanamke ni chombo cha starehe aipaswi tena narudia aipaswi kumuonea huruma. Sio kila kitu mwanamke umwambie, mzalishe sana mpaka akome. Kuwa bize na maisha yako.

Ila kwa uyu jamaa ni mpumbavu sana kila kitu anamwambia mwanamke. Nadhani jamaa ajiamini kuwa anaweza kuwa na mwanamke mwengine na maisha yakaenda kama kawa. Kaanza mapenzi ukubwani uyu ndomana anaogopa kuachana na huyu mwanamke. Yani kisa mke kila kitu unamwambia, hii ni hatari sana.
Kumbe wewe ni team kataa ndoa?
Wewe ni muoga wa maisha hufai kuwa mwanamme kamili.

Lazima mwanaume uonyeshe kuwa unaweza ku handle changamoto za kifamilia, uongozi huanza na familia BORA.

Ukiwa mwanaume uliyekamilika na mwenye akili mkeo lazima akutii kwa kila jambo.

Team kataa ndoa wote ni WAVULANA wenye akili ndogo sana
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole zake. Huwa inatokea. Mtafutieni mchepuko atapona
 
Jana tena nilipewa ushuhuda kama huu huu kuna Jamaa nae kila kitu anamweleza Mkewe na mkewe kila mara kupiga simu uko wp? Upo na nani

Hata kama jamaa yupo na washkaji inabidi akupe simu uongee na shem ili kuua so kila mara

Yaani jamaa ni Mwoga sanaaa kwa Mkewe
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa yko ni BiG ZUZU sio kidg anapagawaje kisa "K" kiasi hicho au itakua kalogwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom