Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,567
Huyu Brother namuonea huruma sana maana alikuwa na cheo kikubwa bank. Mama yake naye japokuwa umri umeenda alikuwa njema sana. Pia dada zake wana kazi nzuri na wako njema. Leo hii anagongea ugali kwa jirani sio poa man sio poa kabisa.Umesema aliacha mke wa ndoa akaenda beba binti sababu mke si type yake, sasa hapo unamlaumu mwanamke yupi? Je yule mke alieachwa kule nani anamhurumia ? Huyo Baba alipata alichostahili, sasa kama mke ndoa naye alishapa pakupasha mwili joto hapo chacha
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app