Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

Kwa sehemu ndogo uko sahihi.
Siku hizi 95% ya wanawake wapo kimasilahi yaani ukiwa na pesa kidogo 90% ya wanawake wako radhi uwagongo.

But 10% hawa wanajielewa na wako real.
Nasemaje?
Wanawake bora wapo sana japo wachache.

Uwezo mdogo wa wanaume kuchanganua yupi ni drama queen, slay queen na mwanamke aliye real ndio kipengele.

Kabla hujatangaza uchumba mpime huyo mke kwa vitu kadhaa, make sure unapata naye muda wa kutosha, tabia huwa haijifichi mkuu.

Tatizo mitako inawazuzia wanaume...mwisho wa siku ni vilio.

Mke sio sura na tako pekee.

Hakikisha unayemtaka ana AKILI NJEMA
100%
 
Siku ukipata tatizo ndiyo utajua umuhimu wa mke, kuna siku tulikuwa tunajadili hili Baba aliumwa Hosp malipo yakafanyika kabla yakupatiwa tiba yote akafariki, nyumbani pesa hakuna ikabdi mama arudi Hosp kuomba change kaambiwa pesa imerudishwa kwenye simu yake maana alitumia simu kulipa, haya password mama haifahamu wala kadi ya bank kwahiyo inabidi kuweka bakuri msibani, aibu gani hiyo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
What if yeye ndiyo alimuua mume wake?
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo karogwa namna ya kumsanua ilibidi kabla hajapata hio 25M sasa hivi huyo mwanamke atamtema jamaa soon ndani six months au a year, msaidieni nenda na nae Mkata kwa msisiri hamtaamini hadi pesa zitarudi kama mwanamke kaweka benk, msaidieni mwanaume huyo ndugu yenu
 
Kumbe wewe ni team kataa ndoa?
Wewe ni muoga wa maisha hufai kuwa mwanamme kamili.

Lazima mwanaume uonyeshe kuwa unaweza ku handle changamoto za kifamilia, uongozi huanza na familia BORA.

Ukiwa mwanaume uliyekamilika na mwenye akili mkeo lazima akutii kwa kila jambo.

Team kataa ndoa wote ni WAVULANA wenye akili ndogo sana
Glenn, nikuukize swali. Unapoamua kuoa ina maana umekubali pros na cons zote za ndoa. Pros ni pamoja na kujenga familia nk!

Cons ni pamoja na ugomvi wa hapa na pale, kuwekewa sumu kutokana na ugomvi au mambo kadha wa kadha n!

Je, upo tayari kwa hizo cons? Je, unaweza ku handle ukigundua kuwa hapo ulipo wewe ni mfu unayetembea kwa kulishwa sumu inayokuua taratibu?
 
Tatizo nchi zetu changamoto nyingi, watu wengi wana matatizo ya akili ambayo hawajayajua vizuri, wakiweweseka kwa matatizo ya akili yanayoeleweka kabisa, wanakimbilia kusema wamerogwa, wameona majini.

Wakati haya ni matatizo ya akili yanayojulikana kabisa.

Na wajanja wachache hapohapo wanajipatia fursa.

Wewe ona, juzikati Doto Biteko kachaguliwa kuw Naibu Waziri Mkuu, watu badala ya kumchunguza kapataje uteuzi, kafanya kazi gani, kaji position vipi mpaka kufika hapo, wanaanza kuuliza mganga wake nani.

Ujinga mtupu.
99+% correct.
 
Unaandika UTUMBO halafu unataka support? Shit hole!.
Shida yako wewe unajiona una akili kushinda wenzako. Vitabu vya dini vmeandika ww nani ubishe. Utaukumbuka huu uzi baada ya kupigwa na kitu kizito. Arafu naisi nawewe upo katika huu mkasa. Nyumbani kwako kupo hivyo hvyo. Maana sio kwa kukaza shingo hvyo. Jf mnajifanya mnakaza shingo mkifika nyumbani ndo wale wale tunao wazungumzia humu
 
Sio macho tu, mpaka akili. Yaani mwanamke akianza kusema tuachane unamwambia TUACHANE [emoji1787]. Akikublock, na wewe unamblock. Akiomba hela unamwambia SITAKI [emoji1787]. Ile akili ya kiupwiru ndio inafanya mtu ulegee kwa mwanamke kisa na mkasa K au tako kubwa [emoji1787]. Zamani nilikuwa hivyo, ila baada ya kurudi kwenye nyeto, ni mwendo wa kutembeza BLOCK [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Unaona unafanya ufala na ujinga kisa na mkasa K. Pesa unatafuta kwa shida mno, tena pesa ya halali huwa ni NGUMU sana kuipata, halafu unakuja kunipelekeshapelekesha kisa na mkasa K. Bora nikomae na nyeto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mkuu umeamua kurudi Misri kwa nini sasa?[emoji23]
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kawekwa kwenye chupa
 
Glenn, nikuukize swali. Unapoamua kuoa ina maana umekubali pros na cons zote za ndoa. Pros ni pamoja na kujenga familia nk!

Cons ni pamoja na ugomvi wa hapa na pale, kuwekewa sumu kutokana na ugomvi au mambo kadha wa kadha n!

Je, upo tayari kwa hizo cons? Je, unaweza ku handle ukigundua kuwa hapo ulipo wewe ni mfu unayetembea kwa kulishwa sumu inayokuua taratibu?
Bro. Mwanaume mkamilifu lazima kwa makusudi kabisa ajitoe kutengeneza himaya yake yaani kuwa na familia bora, mimi ni muumini 100% wa kujenga familia bora.

Ukiwa mwanaume mwenye AKILI familia sio jambo gumu hata kidogo...

Familia zinawahitaji wanaume wenye kuvaa;
Ubaba
Ulezi
Uongozi wenye ushawishi nk.
Mwanamke ni rahisi sana kumhandle ikiwa utafanikiwa kum win kwa kila jambo ni rahisi kuwa submissive kwako.

Shida moja...ukishindwa kim..win yeye ana take ovet na hakuna rangi utaacha kuona.

Wenzetu wapo kihisia zaidi, hivyo ukifanikiwa kumtawala hisia zake, ukamjengea imani kwa kila nyanja yaani mwanamke anjiachia kwajo 100%.

Kuna wakati akili ndogo za wanaume zinazoshindwa kumshinda mwanamke ndio chanzo kikuu cha mafarakano.

Kwa age yangu hii nimesuluhisha mahusiano mengi sana sana, nilichogundua wanaume wengi vilaza sana katika mahusiano.

Chanzo kikuu cha mifarakano ni mwanaume kutokucheza vyema nafasi yake.....(ISHINI NAO KWA AKILI)

HIKI KIPENGELE KWENYE MABANO wengi wamefeli badala yake wanatumia ubabe tu.

Yes nipo tayari kwa lolote...tena ninakiri kuwa ninaweza kuishi na mwanamke mwenye tabia yoyote na 90% nina uwezo kumbadilisha
 
Nimependa mno jibu lako. Hakika, kuingia ndoani ni kujitoa muhanga kwa lolote pia.
Umekuwa muwazi kaka! Nami panapo nafasi nitatengeneza familia bora.
 
Bro. Mwanaume mkamilifu lazima kwa makusudi kabisa ajitoe kutengeneza himaya yake yaani kuwa na familia bora, mimi ni muumini 100% wa kujenga familia bora.

Ukiwa mwanaume mwenye AKILI familia sio jambo gumu hata kidogo...

Familia zinawahitaji wanaume wenye kuvaa;
Ubaba
Ulezi
Uongozi wenye ushawishi nk.
Mwanamke ni rahisi sana kumhandle ikiwa utafanikiwa kum win kwa kila jambo ni rahisi kuwa submissive kwako.

Shida moja...ukishindwa kim..win yeye ana take ovet na hakuna rangi utaacha kuona.

Wenzetu wapo kihisia zaidi, hivyo ukifanikiwa kumtawala hisia zake, ukamjengea imani kwa kila nyanja yaani mwanamke anjiachia kwajo 100%.

Kuna wakati akili ndogo za wanaume zinazoshindwa kumshinda mwanamke ndio chanzo kikuu cha mafarakano.

Kwa age yangu hii nimesuluhisha mahusiano mengi sana sana, nilichogundua wanaume wengi vilaza sana katika mahusiano.

Chanzo kikuu cha mifarakano ni mwanaume kutokucheza vyema nafasi yake.....(ISHINI NAO KWA AKILI)

HIKI KIPENGELE KWENYE MABANO wengi wamefeli badala yake wanatumia ubabe tu.

Yes nipo tayari kwa lolote...tena ninakiri kuwa ninaweza kuishi na mwanamke mwenye tabia yoyote na 90% nina uwezo kumbadilisha
Mkuu utafika mbali 😂😂😂
 
Back
Top Bottom