Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
Sikopwi uchi wala sitoi bureKuwa makini usije kopwa uchi
Sikopwi uchi wala sitoi bureKuwa makini usije kopwa uchi
Mie hawaniombagi bhana... Sijui wananisomea ramani!!!Na wewe umepigwa kizinga cha 10,000/-
Ila mimi nimewa-mind kwanini mnatudhalilisha hivi?
Unauza au unakodisha?Sikopwi uchi wala sitoi bure
Ukifupisha siku za vijana hakutakuwa na wazee siku zijazo!!! Vijana wa leo ndo wazee wa kesho!!
VeeeepeKheeeeeeeee
Ahahahhah me wa ndoa huwa namalizana nao mwenyewe huwa sitakagi ushaurinawewe ukitaka ushauri wowote uje,Ila sio wa ndoa na mahusiano maana ndo uliomkimbiza!
HahahahahaahhaKuwa makini usije kopwa uchi
Nilikua siyajui hayaWewe umenipiga kibuti, sioni aibu kusema hivyo hadharani.
Sasa hayo yametoka wapiKumbe we ni shem darling hujui me na sakayo ni ndugu
Pesa mkononi kama [emoji542]Sikopwi uchi wala sitoi bure
Siuzi wala sikodishiUnauza au unakodisha?
HahahhahahSikopwi uchi wala sitoi bure
HahahaKhaaaaa bora nimejua mbona sasa anataka no yangu anataka kutukula wote au
Yaani nimeumia sana roho leo. Mwaka mzima nakutongoza hata namba umeninyima huku wengine unawatumia hadi picha! Ila umepata malipo stahikiKhaaaaa bora nimejua mbona sasa anataka no yangu anataka kutukula wote au
Ahahhaha hamna dada hivi haya maneno unaandika mwenyewe au mtu kakuhackVeeeepe
Acha kunisingizia jamaniWewe umenipiga kibuti, sioni aibu kusema hivyo hadharani.
Hivi Dina ina maana we hujawai pata mjanja akawa anakula kyuma freeHahahahahaahha
Yametoka wapi vipii dada alikua anataka no yanguSasa hayo yametoka wapi
Anajilia tu Mr wangu kwa raha zakeeePesa mkononi kama [emoji542]
Kweli dada sio ya kucheka hayaHahaha
Aki mbavu zangu
Sema kibuti chako cha kistaarabu hakiumi sana.Acha kunisingizia jamani