Wanaume Single mnasubiria nini?

Wanaume Single mnasubiria nini?

Single ni mtu ambaye asiye responsible wala accountable na maisha yake

Ni mtu aliyekata tamaa ya maisha
Wafuatao wapo SINGLE, hebu tuwascan kama hawako responsible na accountable..

1. Dangote (Dangote group) is SINGLE now..
2. Bezos (Amazon) is DINGLE now..
3. Isack Newton (Physics) was single the whole life...
4. Jesus (Xstian) was single until death
5. Paulo (waraka wa kutosha kwa biblia) was single his whole life...

NIENDELEE...

Hiyo SCANNING UTAIFANYA MWENYEWE.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
miaka iyo gunia la mahindi buku mbili na kitu hivi,sasa hivi ni hatari sana expensive package alafu unakuta mahindi mabovu,unga unatoka kama wa ulezi.
 
Wafuatao wapo SINGLE, hebu tuwascan kama hawako responsible na accountable..

1. Dangote (Dangote group) is SINGLE now..
2. Bezos (Amazon) is DINGLE now..
3. Isack Newton (Physics) was single the whole life...
4. Jesus (Xstian) was single until death
5. Paulo (waraka wa kutosha kwa biblia) was single his whole life...

NIENDELEE...

Hiyo SCANNING UTAIFANYA MWENYEWE.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
Usiigize au usiige maishani maana Yesu ni Mungu yeye ni roho .
Diamond ni wanasema ni freemanson ila sio hivyo bali yeye anaishi kwa masharti yake na ukiwa kama yeye ni ngumu kuoa maana kila demu anapenda kitu kutoka kwake.
Hata hao wote so becareful with others people believes .
 
Naomba nikuoe mrembo...
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.

Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?

Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
 
Wachache sana
 
Tunamsubiri Yesu, single boy mwenzetu Aje, akiowa na Sisi Ndio tuowe
 
Hadi Corona iishe kwanza maana mechi zote zimesimama kwa muda wanaume tunapenda sana mpira ...
 
Usiigize au usiige maishani maana Yesu ni Mungu yeye ni roho .
Diamond ni wanasema ni freemanson ila sio hivyo bali yeye anaishi kwa masharti yake na ukiwa kama yeye ni ngumu kuoa maana kila demu anapenda kitu kutoka kwake.
Hata hao wote so becareful with others people believes .
Kwahiyo kumbe umekubali kuoa ni someone's belief.

Haina lolote na kuwa un responsible na accountable.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Mimi kama mwenyekiti wa wanaume tulio”singo” natoa tamko

“Naomba mtuache, tumeridhika na haya maisha yetu, tuna furaha na amani”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.

Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?

Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
Mkuu kuoa ni jambo ambali linaweza kuwa dogo au kubwa kulingana na muoaji na muolewa...
Mwanaume anaweza akawa ana nia ya kuoa lakini hana pesa za kugharamia shughuli nzima ya ndoa...unakuta upande wa bibi harusi wanataka mahali kubwa kiasi kwamba wanafanya biashara au wengine wanapenda harusi ya gharama wakati upande mmoja uwezo ni mdogo...
Maswala ya ndoa ni baraka na neema kwa muumba wetu so kama umepangiwa utaolewa au kuoa mapema basi yote ni heri kutoka kwa mwenyezi Mungu so binadamu kama wewe huna mamlaka ya kuanza kumbeza au kumpangia mtu ataoa au kuolewa lini so tuchunge ndimi zetu kwani yajayo hatuyajui yatakuwaje...

Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka kwa wale wakristo wanaosherekea siku hiyo takatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom