Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,165
unaweza ukawa katika mahusiano japo hujaoa so no shida yoyote wala upwekeJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini kwa maana zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika , kufua , kuosha vyombo ukiumwa hakuna wakukisaidia majuku yote hayo .
Hamuoni ni muda wakutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo mnakwama wapi?
![]()


na tumekutana