Ona hii mbuziWalio single wengi hawajitambui.
Hiyo ni fact

Sio kweli acha kupotosha watuMkuu kuoa mapema ni sawa na kuondoka kwenye shelehe mda wa kula
Au siyoNipo tayari kukusubiria mpenzi
Ukweli unaumaOna hii mbuzi
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Ndio kipenziAu siyo
HayaNdio kipenzi
Naomba accessHaya
Jamani kwaniniAmenichomolea
Jidanganye tuMimi kama mwenyekiti wa wanaume tulio”singo” natoa tamko
“Naomba mtuache, tumeridhika na haya maisha yetu, tuna furaha na amani”
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti sio nyie??
Kama huna hela oa mwanamke mwelewaMkuu kuoa ni jambo ambali linaweza kuwa dogo au kubwa kulingana na muoaji na muolewa...
Mwanaume anaweza akawa ana nia ya kuoa lakini hana pesa za kugharamia shughuli nzima ya ndoa...unakuta upande wa bibi harusi wanataka mahali kubwa kiasi kwamba wanafanya biashara au wengine wanapenda harusi ya gharama wakati upande mmoja uwezo ni mdogo...
Maswala ya ndoa ni baraka na neema kwa muumba wetu so kama umepangiwa utaolewa au kuoa mapema basi yote ni heri kutoka kwa mwenyezi Mungu so binadamu kama wewe huna mamlaka ya kuanza kumbeza au kumpangia mtu ataoa au kuolewa lini so tuchunge ndimi zetu kwani yajayo hatuyajui yatakuwaje...
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka kwa wale wakristo wanaosherekea siku hiyo takatifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema anataka niwachukue wewe na yeyeJamani kwanini
Ndio kwa maana hamuonyeshi nia mko tu na mnataka mpewe bure na hamueleweki ukitaka kueleweka basi kuweni na misimamo na tatizo lenu mnataka malaya wanawake wenye heshima na upendo hamuwataki
No this oneunashida na unaongeza matatizo
"Not everything is for everybody"