Wanaume Single mnasubiria nini?

Wanaume Single mnasubiria nini?

Nioe nife, kama kupika najua, kuosha vyombo kufua n.k hakunipigi chenga unataka nioe ili iweje sasa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu MysweetL sio navuta fangi bali ni ufunuo wa john kwa wanawake wa this generation.
 
Unaweza jikuta unasubiri MUNGU akubariki kwa kuwa na maisha mazuri ndio uoe. Kumbe Mungu anataka uoe ndo akubariki kwa mema yoote.
Mungu atusaidie wabishi much know kama mm nipate mwanamke mwema. Wengi nao kutana nao hata vision hakuna, darasa la 7 (dependant) kwa asilimia zoote. Mama yangu alikuwa dependant kwa mzee lakin wakati ule viwanja na mashamba yalikuwa bei sawa na bure. Pesa ilikuwa ngumu enzi zile ila ilikuwa na thamani
Leo maisha ni magumu kila pande afu nioe dependant..... HUA NAWAZA NASEMA hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiììiiiiiìi
 
Ndio kwa maana hamuonyeshi nia mko tu na mnataka mpewe bure na hamueleweki ukitaka kueleweka basi kuweni na misimamo na tatizo lenu mnataka malaya wanawake wenye heshima na upendo hamuwataki
Aisee mimi nia ninayo ila sasa niaokutana nao duu sijui nafeli wapi

born to shine
 
Aisee mimi nia ninayo ila sasa niaokutana nao duu sijui nafeli wapi

born to shine
Acha kutafuta malaika hawapo duniani mke ili mradi awe anaheshima,kukupenda , na sura isiunguze picha.Basi hapo utaoa
 
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.

Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?

Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
😁🤗
hii style yako ya kutafuta wa kukuoa nimeipenda
 
Tangazo lako nimelielewa sana.
Ni wachache sana watakuelewa
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.

Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?

Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
 
Mkuu, kupika kuosha vyombo na vingine sio kazi ya wasichana ni kazi ya jinsia yeyote tu

Kuoa ni kuongeza gharama ambazo mhusika hujitakia, Pamoja na stress na kupata magonjwa ya ajabu.

Ndio maana wengi huamua kutafuta watoto tu ndoa hapana.

Kumbuka maisha yamebadirika sio Kama zamani mwanamke lazima uolewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkatisha tamaa bhana
 
nadhani tatizo kubwa men feel like hawaheshimiki tena kama enzi zile.
unaoa mke ana gari 2 na watoto 2 pesa anayo sasa iyo stress hapo ndani ukipanda unaambiwa kwan hapa kwako.
 
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.

Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?

Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
.

Jibu liko hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom