- Thread starter
- #141
Mbona baba ako kapata jiko ukazaliwa acha pretty ladies utazeeka haya shauri yako.
Hebu njoo pm kwanza nikwambie alideal na pretty girls kwa muda ganiMbona baba ako kapata jiko ukazaliwa acha pretty ladies utazeeka haya ushauri yako.
Mbona baba ako kapata jiko ukazaliwa acha pretty ladies utazeeka haya shauri yako.
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
![]()
Sasa unataka uuze hio ni biashara?Msimamo unakujaje wakati mko too selective.Ndio kwa maana hamuonyeshi nia mko tu na mnataka mpewe bure na hamueleweki ukitaka kueleweka basi kuweni na misimamo na tatizo lenu mnataka malaya wanawake wenye heshima na upendo hamuwataki
Ndio lazima mtu awe selective because when you decided to live with someone it will be forever.Sasa unataka uuze hio ni biashara?Msimamo unakujaje wakati mko too selective.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewee ukizeeka single utajua tu
Vipo kwenye moja ya nyuzi zangu mkuukwa vigezo vipi haswa?
Tunakula kimasihara tuJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?

😁🤗