MSUKUMA02
Senior Member
- Dec 12, 2011
- 179
- 244
Acha kuwadanganya wenzio mbona uko na mwenzio wa enjoy.
Ila nipo kwenye zoezi la kutafuta mke wa pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwadanganya wenzio mbona uko na mwenzio wa enjoy.
Dah hili tangazo limesukwaJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
![]()
Muda wangu wa kuwa single umeisha, Bibie fungua mlango wa PM. Nakuja tuyajenge.Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
😁🤗
Kuwa huru?????
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Hii sio sababu ya kuoa maanake kuna migahawa,washing machine,dishwasher,house girls au boys etc.Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
😁🤗
Meaning???
Hakuna mwanaume single, bali kuna mwanamke single .Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
![]()
Meaning??
Ila nitofauti na mke akiwa ndani jAribu uoneHii sio sababu ya kuoa maanake kuna migahawa,washing machine,dishwasher,house girls au boys etc.
HayaMuda wangu wa kuwa single umeisha, Bibie fungua mlango wa PM. Nakuja tuyajenge.
Limesukwa??
Upi??
Wa viwanda au wa mademu
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?