- Thread starter
- #61
Mi muda umefika serious nataka nitulie
Mi muda umefika serious nataka nitulie
Kwahiyo upo single watu walete maombi?Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
![]()
You are right. It's more stressful mke akiwa ndani kuliko hizo mashineIla nitofauti na mke akiwa ndani jAribu uone
Nasubiri nikue kidogo..
Mtanikoma maana nitafidia hii miaka niliyokaa kimya kimya
Punguzeni masharti kama waganga wa kienyeji ili tuweze kuwaoaJamani wanaume ambao hamjaoa shida nini? Zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona, hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki?
Just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika, kufua, kuosha vyombo na ukiumwa hakuna wakukisaidia majukumu yote hayo.
Hamuoni ni muda wa kutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo; mnakwama wapi?
🤗
Single ni mtu ambaye asiye responsible wala accountable na maisha yakeHakuna maisha matamu kama USINGLE..
1. Matumizi ya pesa yako unayapanga mwenyewe.
2. Huhitaji ruhusa ya mtu yeyotee kwenda sehemu yoyote.
3. N.K
#YOUR FREE FROM EVERY KIFUNGO..!!
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Ukifanikiwa kuishi hadi uzee utatamani awepo mtu wa kukuuliza hayo maswaliUtarudi saa ngapi?
Mbona Umechelewa kurudi
Upo wapi
Kwani lazima upite maskani!?
Huo muda wa kujibu hayo maswali ninao sasa!?
Nataka kukuoa mkuu
Naomba uwe mke wangu i.e mama wa watoto wangu.Kwa mtazamo wangu ndoa ni muhimu ila siyo lazima, ni hiyari tu.