CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Unafikiri miss wa kinyaru anadanganyika kirahisi kwa maneno kama wangu?charminglady ananichokoza bana huyu jamaa anajiita grafani11 na ananiinglia kwenye mambo zangu ndo maana
ngoja kwanza nimalizane na miss wa kinyaru halafu nitaacha kuchakachua siredi yako
Unajua una kaa nyumba ya vioo tupu halafu ukaanza kurusha mawe.
Unafikiri miss wa kinyaru anadanganyika kirahisi kwa maneno kama wangu?
Ukiona mwanaume badala ya kuimbisha mrembo anaanza kumtaja kaka yake eti ana fedha nyingi, mara ooh mama yangu ukimuona anafanana na wewe...mara ooh grafani11 hanipendi, mara oooh niliyemwacha atakuja hapa.. nk miss wa kinyaru uje hapo kuna mtoto wa kiume na sio mwanaume.hapa noma miss wa kinyaru watu wataiba utaalam mbona hapa sijafunguka aise hapa nimesema tuu kwa mstari wa kawaida can we join hands ukisema yes tuu tunahamia chumbani kule sasa kupeana mistari
Unataka mpaka watalaka wangu akina Mamndenyi wafufuke huko waliko waone ninavyomwaga sera
Halafu grafani11 hatapenda mimi nimwage sera hapa maana nitamharibia soko
unajua alimpataje Heaven on earth njoo chumbani nikuambie sio hapa sebuleni
Mmmmhhhhh ndo akome.....sisi tunakariri sana eti usipompa mwanaume ndo atakuoa haraka.Nani kasema hayo!!!!
Mbinu zipo nyingi.....wakat mwenzio anasubir,yupo anayemgegeda ila kwako atasubir coz lengo ni kukamilisha ratiba/list.
UmeonaeeeHalafu nikikusifia kwa hoja zako wanasema mimi majanga, haya sasa kwa hoja nzito kama hii yenye uchunguzi wa kina, hivi Heaven on earth nikiikubali nitakuwa nimekosea kweli?
Yaani miss wa kinyaru katika watu wachochezi humu jamvini kiongozi wao ni Mr Rocky ingawaje ni rafiki yangu mkubwa.
Ukiona mwanaume badala ya kuimbisha mrembo anaanza kumtaja kaka yake eti ana fedha nyingi, mara ooh mama yangu ukimuona anafanana na wewe...mara ooh grafani11 hanipendi, mara oooh niliyemwacha atakuja hapa.. nk miss wa kinyaru uje hapo kuna mtoto wa kiume na sio mwanaume.
haya bana endelea kumlelea vyema asianze kutafuta muzungu kama Heaven on earth
nafikiri grafani11 hafanyi kazi yake vyema
Heaven on earth we si unamuona dogo grafani11 yeye muda wote macho juu tuu na hapa sijui kapotelea wapi au ndo yuko chumbani na miss wa kinyaruhahaaa nimechekaje kwa sauti Mr Rocky manbo ya grafani11 yamenifanya nianze hizo mishe
Sikupotea mkuu, mtandao kwa muda kama wa nusu saa hivi hapa kwangu ulikuwa unasumbua.Heaven on earth we si unamuona dogo grafani11 yeye muda wote macho juu tuu na hapa sijui kapotelea wapi au ndo yuko chumbani na miss wa kinyaru
Usitusemee Charming utaharibu kila kitu, mi nataka nisikie kwanza mistari ya Mr Rocky, halafu hajui kama maneno yote matamu nilishaambiwaMr Rocky na wenzako, wallah naenda kuwasemea kwa Pou!!!! :sad: