WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Hata mimi nashangaa Malkia wangu ameanza lini wivu kiasi hicho, kumsifia miss wa kinyaru tu ametishia kuninyima leo.
Tena nasisitiza kabisa leo ageukie ukutani na wewe umezidi kusifia sifia kila ukiwa nae kwenye gari ananilalamikia wewe shingo yako inazunguka kama feni kuangalia mipasuo na nanihiii zile za nyuma

grafani11 kwani umesahau ile siku tulienda pale kupata mchemsho,

mie na Mr Rocky hakuna kinachoendelea na leo jion nimepanga kukutana nae

kwa hiyo ulifanya makusudi ili na miss wa kinyaru ili kuumiza mtima wangu!!!!!!
Heaven on earth mwambie huyu grafani11 atulize mtima wake tumalize kwanza mazungumzo yetu utamrudia bila wasi wasi tena ukiwa mzima

Unafikiri baada ya kupamba kinachofuata sio kusheherekea hapo.

nitasherehekea kumpata mdogo wake na Heaven on earth au hajakuambia huo mpango
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!

ha ha haaa penye moto mwaga petrol
.....happi happi happi...sio wote...lakini hapo unaona makosa na mwanaume au ni mwanamke kumkimbia mchumba wake wa zama...?
 
Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!

ha ha haaa penye moto mwaga petrol
.....happi happi happi...sio wote...lakini hapo unaona makosa na mwanaume au ni mwanamke kumkimbia mchumba wake wa zamani...?
 
Kabla ya kuanza kujibizana kwanza naomba niwakague kucha. Maana naanza kuhisi harufu ya mabwepande.
Hayo hayawezi kutokea, mimi na Heaven on earth tena, alikuwa anakupiga tu wewe mkwara si unajua utamu wa mapenzi ajuaye mpenzi na chungu ya mapenzi anaijua mwenyewe, aliamua akuchimbe mkwara maana nyie wanaume mkinyamaziwa huwa mnajisahau.
 
.....happi happi happi...sio wote...lakini hapo unaona makosa na mwanaume au ni mwanamke kumkimbia mchumba wake wa zamani...?
Mkuu hilo nalo neno. Naona amesahau ule usemi, "Kunya anye kuku akinya bata kaharisha".
 
Hayo hayawezi kutokea, mimi na Heaven on earth tena, alikuwa anakupiga tu wewe mkwara si unajua utamu wa mapenzi ajuaye mpenzi na chungu ya mapenzi anaijua mwenyewe, aliamua akuchimbe mkwara maana nyie wanaume mkinyamaziwa huwa mnajisahau.
Na kweli, maana mama unatisha hata Shetani wa majaribu anajua.
 
Halafu wewe ndo ulitaka kuchafua hali ya hewa hapa, ukiona moto unawaka ujue kuna alie uwasha. au unamuonea wivu Grafani11 ulitaka uharibu ili Heaven on earth ahamie kwako?
miss wa kinyaru hujambo
hebu nikumbushe nilikuona wapi vile
Ohhh nishakumbuka sana
Mi sina ugomvi na grafani11 ni ndugu yangu baba mmoja mama mbalimbali ila anajua ninachotaka
Kuna mdogo wake na Heaven on earth dah majanga aise nikimpata yule ugomvi na grafani11 utakuwa umeisha
halafu hebu tutete pembeni kidogo hivi mimi na wewe tukijoin hands inakuwaje hapo
 
grafani11 na Heaven on earth mmemsikia Mr Rocky, mi nilihisi kuna kitu maana upambe umekuwa upambe nikawaza huyu ataka vunja ndoa ya watu? kumbe alikuwa na lake si mmeona wenyewe
 
Sasa miss wa kinyaru unataka nife na tai shingoni au nife na njaa wakati chakula nakiona
Mambo hadharani bana unasema wazi kikinuka kinule na sio kiishie mtaani tuu bila kukisema
Mi nishasema sasa can we join hands kwenye kuongea mambo yetu au niende chumbani tuongee maana hapa sebuleni wanga wengi akina grafani11 wanatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
 
Hebu mwaga mistari yako baba, tumeanzia sebuleni acha tuendelee hapa hapa sebuleni, watoto wote wako shule waliopo hapa wote ni watu wazima, Halafu grafuni11 ameshapigwa mkwara na Queen wake na wewe ndo umechangia japo Heaven on earth alikuwa wa kwanza kuliona lakini wewe ukaanza kumjaza sumu.
 
Halafu nikikusifia kwa hoja zako wanasema mimi majanga, haya sasa kwa hoja nzito kama hii yenye uchunguzi wa kina, hivi Heaven on earth nikiikubali nitakuwa nimekosea kweli?

Yaani miss wa kinyaru katika watu wachochezi humu jamvini kiongozi wao ni Mr Rocky ingawaje ni rafiki yangu mkubwa.
 
hapa noma miss wa kinyaru watu wataiba utaalam mbona hapa sijafunguka aise hapa nimesema tuu kwa mstari wa kawaida can we join hands ukisema yes tuu tunahamia chumbani kule sasa kupeana mistari
Unataka mpaka watalaka wangu akina Mamndenyi wafufuke huko waliko waone ninavyomwaga sera
Halafu grafani11 hatapenda mimi nimwage sera hapa maana nitamharibia soko
unajua alimpataje Heaven on earth njoo chumbani nikuambie sio hapa sebuleni
 
Last edited by a moderator:
Sasa miss wa kinyaru unataka nife na tai shingoni au nife na njaa wakati chakula nakiona
Mambo hadharani bana unasema wazi kikinuka kinule na sio kiishie mtaani tuu bila kukisema
Mi nishasema sasa can we join hands kwenye kuongea mambo yetu au niende chumbani tuongee maana hapa sebuleni wanga wengi akina grafani11 wanatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
Hebu mwaga mistari yako baba, tumeanzia sebuleni acha tuendelee hapa hapa sebuleni, watoto wote wako shule waliopo hapa wote ni watu wazima, Halafu grafuni11 ameshapigwa mkwara na Queen wake na wewe ndo umechangia japo Heaven on earth alikuwa wa kwanza kuliona lakini wewe ukaanza kumjaza sumu.
 
Halafu nikikusifia kwa hoja zako wanasema mimi majanga, haya sasa kwa hoja nzito kama hii yenye uchunguzi wa kina, hivi Heaven on earth nikiikubali nitakuwa nimekosea kweli?

Yaani miss wa kinyaru katika watu wachochezi humu jamvini kiongozi wao ni Mr Rocky ingawaje ni rafiki yangu mkubwa.
grafani11 sema kweli urafiki wetu si wa mashaka kama wa paka na panya kuviziana
Mi nikiingia sehem tuu lazima uharibu same to me here na ndo maana tumebeki kuwa marafiki
 
Last edited by a moderator:
miss wa kinyaru hujambo
hebu nikumbushe nilikuona wapi vile
Ohhh nishakumbuka sana
Mi sina ugomvi na grafani11 ni ndugu yangu baba mmoja mama mbalimbali ila anajua ninachotaka
Kuna mdogo wake na Heaven on earth dah majanga aise nikimpata yule ugomvi na grafani11 utakuwa umeisha
halafu hebu tutete pembeni kidogo hivi mimi na wewe tukijoin hands inakuwaje hapo

grafani11 na Heaven on earth mmemsikia Mr Rocky, mi nilihisi kuna kitu maana upambe umekuwa upambe nikawaza huyu ataka vunja ndoa ya watu? kumbe alikuwa na lake si mmeona wenyewe

Sasa miss wa kinyaru unataka nife na tai shingoni au nife na njaa wakati chakula nakiona
Mambo hadharani bana unasema wazi kikinuka kinule na sio kiishie mtaani tuu bila kukisema
Mi nishasema sasa can we join hands kwenye kuongea mambo yetu au niende chumbani tuongee maana hapa sebuleni wanga wengi akina grafani11 wanatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
Nakupa pole Malkia wangu Heaven on earth kama ulifikiri umepata shemeji jaribu tena kufikiri mara mbili. Pole tena kwa kukubali uzushi wa huyu mtu mwenye jina kama la mwamba geu toka jana.
 
Back
Top Bottom