WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

charminglady hapo season one kwishney tunasubiri season 2. Anyway nina mambo mengi sana ya kuchangia hapa but lemme come back later ngoja nifanye kazi za watu hapa kabla sijapewa kimemo

Hahhaaaa.... ndio ishaishia hapo mkuu, haya tunakusubiri kwa hamu!!!

Afu usiwe unapotea sana kiasi hiko :lol:
 
Last edited by a moderator:
UARIBIFU. Huyo mwanamme akili zake ni mbovu, yaani badala ya kufanya ya muhim duniani, unakuja duniani kuaribu maisha ya watu na kujitaftia laana? Kama akiringa yeye ina muhusu nini?
 
mademu wanasumbua sana mie kuna mmoja nitamfanyia hivyohvyo..
anajiona na.anadharau
 
Huu uzi umenipita lol...nakosa hata lakusema

Sikutamani iishe jamani
 
Back
Top Bottom