grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Kwa maneno yako watakutambua na kwa matendo yako utajionesha wewe ni wa umri gani. Yaani huwezi kuimbisha mrembo mpaka uzime taa asikuone usoni, mpaka watu wote waondoke unaogopa kuchekwa ukipigwa za uso. Hahaahahahaaaaaaaaaaaaa...sasa kama humu kunakushinda utaweza kutupa ndoano kwenye daladala kweli?