Moyo wa mwanaume unavyumba zaid ya mia vya upendo. Ukiona unapendwa shukuruMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Tatizo hata tupewe warembo 100 tupewe option ya kuchagua mmoja lazima roho itatuuma kuwaacha wale 99 kuna huruma flan hivi huwa tuna feel lazima tuwarudie na wale 99Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?

1.Mrefu 2.Mfupi 3.Mnene 4.MwembambaMOYO UNA CHEMBA NNE, SO ZOTE ZINATAKIWA KUJAZWA NA WANAWAKE
aiseehaya maisha hayana formula kabisa, but all in all original is the best
mchepuko is just a spare tire
Endelea kujikwamua tu
don't stereotype,sisi wanaume wengine sio 'macho-kuona',kama nakupenda na kama uko katika mstari ulionyooka siwezi kuchepuka,nichepuke ili iweje? sina time hiyo kwanza.Kwa hii sentensi nimeamini ni vigumu sana kumridhisha mwanaume
Hapo ndio safi kabisa1.Mrefu 2.Mfupi 3.Mnene 4.Mwembamba
huwezi kua na mazoea na MWANAUME halafu usi tombwe labda huyo sio mwanaume halisi,hatuchepuki sababu hatutaki mazoea na wanawake ambao ni 'capable of being f*ck*ed'.Kuwa na mazoea na mwanaume mwingine haimaanishi ni wapenzi
Kuna kupenda na kutamani.....elewa tofauti yake....yule unayemtamani anakuwa hana thamani baada ya kumtumia....lakini yule unayempenda unataka uwe naye tena na tena hata baada ya kumtumia.....Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?