Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

Kwani mfalme Suleiman alivokuwa na wanawake 1000 alitosheka na wale masurufu 200.....
 
Swit sasha mimi nakupenda sana, nitakuwa sitongozi wanawake wengine, vipi uko tayari?
 
Tunauwezo wa kupenda zaidi ya mmoja na wote tukawa na wivu nao wa mapenzi kwa maana wake 4.
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Ukweli halisi ni kwamba kama mwanaume Mwenye kujitambua na kujielewa ikatokea akampenda mchumba au Mke na huduma anazohitaji toka kwake akazipata ipasavyo hatatongoza wengine lakini ikitokea amependa lakini hajapendwa ina maana hata huduma nyingine zitafika kwa mgao hilo halina ubishi mwanaume ataendelea kutongoza na akikubaliwa atapiga kama kawaida, kumbuka mwanaume anapopenda nae anaitaji kupendwa akithamini nae athaminiwe Maisha yatakuwa Mazuri yenye amani tatizo kina Dada mnakera ukishaonyeshwa unapendwa unaanza kuringa nikikupa ratiba yangu nawe unanipa yako ilimradi tuu tupishane sasa hapo ndipo panaleta mwanaume kutafuta kipoozeo
 
Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, na si mwanaume kwa ajili ya mwanamke.

Mwanamke atakaelitambua hilo ataishi maisha ya raha sana hapa duniani...
 
Ukinunua nguo uliyoipenda hutanunua nyingine?
Una jozi ngapi za viatu? Labda tuanzie hapo!
 
Je na nyie mnaweza kutuvumilia tukitamani mishidede ya aina tofauti tofauti? Au kuna double standards?
Hakuna asiyetamani aina tofauti.Tatizo ni usiri! Haya mambo hayafanywi hadharani hata kama ni wanandoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom