Hivi hadi karne hiyi Kuna wanaume bado mnatongoza wanawake?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,302
Reaction score
9,205
"Dada samahani nilikuwa na shida na wewe kiukweli nimetokea kuvutia na wewe yaani nakupendaa"

Kama wewe ni mwanaume alafu bado unamiseme hiyo hapo juu piga kifua angalia juu sema "mimi mpumbavu bado nina safari ndefu acha nipigwe hela mpaka akili inirudi"
niseme tu ukweli mimi tokea nimebalehe 1932 sijawahi simamisha mwanamke na kutongoza,
 
Kutongoza ni raha,
Kutongoza kunavutia haswa mwanamke akiwa sitaki nataka.

Kutongoza kunampa mwanaume uwezo wa kujiamini na kupata mtu sahihi.

Labda tu nikwambie,unatembea na watu wa vipato vya chini ambao ukiwatajia Tu pesa wanakubali,yaani mnapanga tu mkutane mgahawa fulani imeisha hiyo.

Sasa kuna wanawake hawa ambao ACC yake unasoma kuanzia Milioni 100 unadhani utamtapeli Kwa laki moja yako?

Kutongoza kupo tu,kama hutongozi maana yake huwezi date na hawa
Ma DAS ma RAS wakuu wa wilaya, na wafanyabiashara wakubwa.

Kingine Acha kutembea na wanaojiuza
 
Kutongoza ni sanaa,

Madogo wa siku hizi wanaanza Mapenzi hata Condom haziwatoshi(oversize), hawawezi elewa burudani iliyopo kwenye kutongoza. Tena wale mademu wasumbufu sumbufu ndio huwa tamu zaidi, wanachangamsha akili.

Mwanaume hata kama UMEOA, usiache kutongoza unapopata fursa. Just Tongoza tu hata for Fun.
 
Ni kweli, lakini kwa miaka hii watu hawatongizi kama zamani.

Kwanza siku hizi watu hawatongozani ana kwa ana kama enzi zetu, kitu ambacho kinarahisha mchakato wa utongozaji.
 
"Dada samahani nilikuwa na shida na wewe kiukweli nimetokea kuvutia na wewe yaani nakupendaa"

Kama wewe ni mwanaume alafu bado unamiseme hiyo hapo juu piga kifua angalia juu sema "mimi mpumbavu bado nina safari ndefu acha nipigwe hela mpaka akili inirudi"
niseme tu ukweli mimi tokea nimebalehe 1932 sijawahi simamisha mwanamke na kutongoza,
Mimi hua nawafata kiroho,,,,,,
ili nisizitimize tamaa za mwili.
simple like that

Seran, leo dada
 
Kutongoza ni sanaa,

Madogo wa siku hizi wanaanza Mapenzi hata Condom haziwatoshi(oversize), hawawezi elewa burudani iliyopo kwenye kutongoza. Tena wale mademu wasumbufu sumbufu ndio huwa tamu zaidi, wanachangamsha akili.

Mwanaume hata kama UMEOA, usiache kutongoza unapopata fursa. Just Tongoza tu hata for Fun.
Kubwa hii
 
"Dada samahani nilikuwa na shida na wewe kiukweli nimetokea kuvutia na wewe yaani nakupendaa"

Kama wewe ni mwanaume alafu bado unamiseme hiyo hapo juu piga kifua angalia juu sema "mimi mpumbavu bado nina safari ndefu acha nipigwe hela mpaka akili inirudi"
niseme tu ukweli mimi tokea nimebalehe 1932 sijawahi simamisha mwanamke na kutongoza,
Utambue unakamata wanawake wabovu, tambua hilo!
 
Ni kweli, lakini kwa miaka hii watu hawatongizi kama zamani.

Kwanza siku hizi watu hawatongozani ana kwa ana kama enzi zetu, kitu ambacho kinarahisha mchakato wa utongozaji.
Mtu hata kabla haujamaliza kumtongoza anakwambia Bao 2 elfu 50. Hapo hata hamu ya kuendelea kutongoza inapotea.
 
kabisa mi juz natongoza bint kabla hajanipa jb akasema beib sina hela ya vikoba mi mmh kwahy nisingetongoza hawa mabint hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom