Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Kupenda ni jambo Moja na kuona na kutamani mwingine ni japo jingine!
Ndio.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Ahahahahaaaahakika michepuko haitakaa iishe kama ndo hivi
EeehhHiyo ni kawaida sana. Ndio tulivo.
unachotakiwa kujua mwanaume hata akiwa na madem 10 kuna mmoja huyo ndo tunamuitaga the oneMambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Issue yako ni ngumu.Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?