Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

sikia hakuna uchawi kweny mapenzi!!! inatrmegemeana inawezekana akakupenda sana lakin kuna utamu haupati kwako.ndo anatafute huo utamu kwengine,lakin anakupendaaa
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Man is naturally polygamous. Mfano mdogo hata kwa mifugo yako unayofuga nyumbani. Kama una kuku 30 utaweka jogoo mmoja au wawili tu wa kuwashughulikia mitetea. Vivyohivyo kwa mifugo mingine.
Hivi ninyi wanawake, mnajua kitakwimu kwamba mko wengi kuliko wanaume? Kama ingetokea duniani mwanaume mmoja akamwoa mwanamke mmoja unahabari wagebaki wanawake mamilioni kwa mamilioni. Je hawa wangeenda wapi! Pendaneni na nyie. Sisi ni wachache na nyie ni wengi. Oneaneni huruma. Tena tupongezeni kwa kazi tunayofanya
 
ni jambo jema kuwa na backup for future use in case needed
 
Si unajua tuna vichwa viwili we unafikiri vina majukumu gani?l ndo maana tunawashangaa nyie mna kichwa kimoja sijui mnapataje michepuko wenzetu
 
Hiyo inawezekana hasa pale muda mwingi unapokuwa haupo karibu naye. Anaweza kushawishika
 
Wanaume hatuelewi tunataka nn au soda ya kopo au ya chupa au soda ya barid au ya moto cjui kwa nn hatujielewi
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Ndiyo, kutongoza wengine haimaanishi anakuchukia.
Wanawake wako ktk levels kila huyo na matumizi yake.
Wengine hawaolewi, wengine ni kuzaa tu hawaolewi, wengine hawazai wala hawaolewi, wengine wanaolewa tena kwa ndoa zaidi ya mara tatu wengine hata moja hawaioni wanaishia kusheherekea za wengine.

Usiumizwe kichwani kisa mwenzako katongozwa ni hali ya kuzoea tu bali furahia kuwa mke wa ndani uliyetambulishwa kwenye jamii hiyo ni zaidi ya heshima. Mengine yaache yalivyo.
 
Mimi mwanamme nakujibu hivi.

Ndio inawezekana akawa anakupenda wewe lkn anasumbuka sababu tu ya tamaa. Namoyoni mwake unakuta niwewe tu .

Ila Mimi Sweetheart Wangu Kapeace wala siwezi kumcheat ,, mpaka anipe ruhusa yakuchepuka ndo nachepuka.
Mpaka hapo ulishachepuka na kuchochora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom