Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

There you are, i got you my brother for admitting that the world it's not fair to women when it comes to relationships issues! I think something has to be done we are tired of being the victims!
What you can do if you are really tired is to bear the costs!
Take care of your b/friend in need,hire a room for him,pay fees for his college education,give him pocket money,pay dowry,etc,etc .
Then you can talk of "changes!".
 
Biologically mwanaume yupo ready kwa sex any time!
Mara nyingi tunatongoza kwa ajili ya sex sio kwa ajili ya mapenzi ya moyoni, kwa hiyo naweza nikatafuta wanawake wengine kwa ajili ya sex ila yupo mmoja nayempenda!!!!!!

Na ndio mara nyingine unakuta mwanaume ana demu/ mke bomba sana lakini ukakuta kafumwa na kamwanamke kaajabu ambako hakamfikii hata nusu demu/mke wake.
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Hiyo kawaida sana.

Mwanaume sharti awe hivyo.
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Haahha
ec6ee73c95399a4a1095a183c872864b.jpg
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?

Kwa men the action is purely physical. So yes kutongoza pengine has nothing to do with love. Kuna mwanamke hata ukijaambiwa uliwahi kumla unakataa coz humkumbuki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom