Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

Sio kila mda unakula maharagwe, mda mwingine hata njegere kidogo.
 
Its very complex and complicated... Na kama usingizi na kifo...

Hata mwanamke nae anaweza akawa na mpenzi na bado akakubali mazoea na mwanaume mwingine...


Cc: mahondaw
Kuwa na mazoea na mwanaume mwingine haimaanishi ni wapenzi, ila nyie wanaume sasa mnatongoza na kufanya kweli kabisah halafu mnaona kawaida. Not fair at all!
 
So wewe ulidhani ndiyo final Version.
Hapana,Hata ambaye hatongozi atakuwa anajikaza sana, sema mambo ya kutongoza yanahitaji confidence.ambazo wengine hawana

By the way.kuna swaga zingine hazifai kuwafanyia wake wa ndani kwa sababu watasema baba mchungaji alikataza. ila ni saizi a michepuko
 
Kuwa na mazoea na mwanaume mwingine haimaanishi ni wapenzi, ila nyie wanaume sasa mnatongoza na kufanya kweli kabisah halafu mnaona kawaida. Not fair at all!
Hakuna mazoea ya kudumu kati ya mwanaume na mwanamke...

Hata wanawake hufanya kweli pia... Mwanaume kufanya kweli ni maamuzi kutoka kwa mwanamke mwenyewe...



Cc: mahondaw
 
Ni kweli kbsa anatoka nje kama kawaida
Kuja unapendwa Pima ujali wake kwako
 
Kwani uongo mkuu? Fuatilia wanaume wenye vimbaombao nyumbani huku mtaani wanahangaika na vyura. Wale wenye vyura nyumbani huku mtaani wanahangaika na vi-mobitel
Ni kweli mkuu,kwa mfano mimi napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo!!
 
Kwa hii sentensi nimeamini ni vigumu sana kumridhisha mwanaume
Dawa ni hiyo hapo kwa signature yangu mdogo wangu, hayo mengine mnadanganyana tu siku ziende. Tabia ya mwanaume kuonja honja kama jogoo vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom