Wanaume nijibuni..

Wanaume nijibuni..

Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
The more you practice the more you gain. Nikiacha kufanya mazoezi ya kutongoza nitasahau kutongoza. Ukija kuniacha nitataabika sana namna ya kumpata mwingine. Wanawake wenyewe hamtabiriki mko mguu nje mguu ndani.
 
Inategemea na wewe ulivyo unamhamasisha vipi wanawake hasa Wa mjini hamuaminiki unaeza ukampa moyo wote bado badae akazingua kwa hyo MTU aona bora awe nao hata watatu ili mkipukutika abaki angalau mmoja binafsi sina imani na nyie dadaz hata nkupende VP najua iko Siku utazingua kwa hyo nawaweka hata wanne ktk list ktk hao atakae dumu said ndo ntaoa
 
Kwa hyo ili asitongoze wanawake wengine basi onyesha upendo Wa dhati kwake na umpe matumaini ya kuwa naye Sikh zote na asiwaze kufanya ngono tu Bali mpange maisha na kama unaona yko serious na we fanyen mpango Wa ndoa mjenge familia
 
There you are, i got you my brother for admitting that the world it's not fair to women when it comes to relationships issues! I think something has to be done we are tired of being the victims!
Nothing can or should be done. Nothing at all
 
They say a man is polygamous by nature.

I say this. A man who truly respects you will protect you from the pain of heartbreak if you ever find out he is cheating.

And he will protect you from the woes of contracting sexually transmitted diseases and infections.
I like the use of the word "protect" in your sentences
 
It's very hard to be a woman in this world, you have to understand and accept that men are potentially polygamous, accept all the sh*t because that's how they are... Sometimes it's better to be single to avoid all these dramas.
The big problem is, it is hard to be single especially for men as it is a pride to be married (in relation)
 
They say a man is polygamous by nature.

I say this. A man who truly respects you will protect you from the pain of heartbreak if you ever find out he is cheating.

And he will protect you from the woes of contracting sexually transmitted diseases and infections.
So u'll agree with me if I decided to take some contraceptives measures to protect u and actually not to let u know that i was cheating.
 
Hapo ukweli anakuwanao yeye nani anampenda lakini hawezi kupenda wanawake wawili huo utakuwa ni uongo uliotukuka.
 
ndio inawezekana na hata ukitaka uachane nae ata kuchagua ww na sio mchepuko wke n jambo la kawaida sn
 
Sasa Kama mtu anatongoza hovyo kuna uaminifu hapo?
Cha mzingi wewe jua unapendwa tuu basi,Mambo ya sijui kutongoza hovyo achana nayo,Sisi tuna vichwa viwili,hiki kimoja kuna mazingira ni ngumu sana kuki control.Kwa kweli mtuvumilie tu hakuna namna😀😀.
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
tatizo uhakika, ingekuwa kuna uhakika unapomtongoza msichana fulani utampata sawa, badala ya kupoteza muda bora uende na hata watatu ili mmoja akikubali unafunga zoezi kuliko kupoteza miaka miwili kwa mmoja halafu usimpate, tatizo linakuja pale unapokuwa umempata mmoja halafu wale wengine nao wakaja kukubali, hapo ndo unalazimika kufanya usichopenda kama hutakuwa na moyo mgumu wa kuvumilia.
 
Achana na masharti.
Kama umetangaziwa upendo kama nawe umependa timiza wajibu wako!
Viuno kwa sana!
Full shangwe!
N.k

Kama wapigwa goli nne na ndio furaha inayoamsha upendo wako basi chunga zisipungue!

Wanaume hutamani bali wanawake hupenda, mwishowe wanaume husababisha mapenzi.
Naam ikisimama!
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Unaweza ukampenda mwanamke kisha ukamtamani mwanamke mwingine, hii haimaanishi kuwa unamchukia umpendae,ni asili ya kiume tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom