Ladba dada anatafuta mchumba , wakati mwenye gari anatafuta mchepuko. Mgongano wa kimaslahi.Kuna mambo mawili hapa yamechanganywa
1. Michepuko
2. Watafta wachumba au waoaji.
Mtu anayetafta mchepuko siku zote anatumia asset alonayo ili kutimiza haja yake, si kwamba hajiamini lakini anaona hakuna haja yakutumia nguvu nyiiingi kuanza kutongoza sijui miezi ndo uje ukubaliwe wakati anataka wa kumalizia hamu tu.
Aina ya pili ni watafta wachumba au MTU wa kufanya nae maisha. Always mtu huyu hawezi kufanya masihala ya kushow off gari au pesa labda awe kazaliwa na kukulia Dar so hajahudhuria jando.
Kwahiyo nashauri unapojenga hoja yako ujikite ktk hayo makundi mawili na usipecify ni kundi lipi hawajiamini. Usije kutufikilisha hapa kumbe unaongelea michepuko.
haahaaahaaHamchelewi kunipa diagnosis ya psychosis humu[emoji28]
Nakunywa ila haihusiani kabisa na nnachoandika kaka makubwa
Kama wewe ulivyo kaririPunguza kukariri...
Cheza fair play...kabla hujauliza ungemjibu tehe...am de night watcher thoughHahaha jambilo hunaga kitu positive cha kusema kuhusu mimi, inawezekana kuna sehemu nilisema jambo likakukwaza sana mpaka leo, pole lakini...wewe kinga unakumbuka lakini?
Bado sijakubaliana na wewe,hujanielewa pia...
Some fear ur sharp spear...i got u brodaKina mama wangapi leo mna uwezo wa kutoka bila make up, mkiwa na nywele zenu halisi, pamoja na kucha zenu zikiwa na rangi aliyowapa Mungu pekee??
Mimi hapa wa kwanza, afu hiyo confidence yangu barabarani utabaki unashangaaKina mama wangapi leo mna uwezo wa kutoka bila make up, mkiwa na nywele zenu halisi, pamoja na kucha zenu zikiwa na rangi aliyowapa Mungu pekee??
Mimi hapa wa kwanza, afu hiyo confidence yangu barabarani utabaki unashangaa
Aaah me nawaangaliaga tu nacheka kimoyomoyo, na hivi tu-pride twetu wengine mwee. Ni wanaume wachache wanaoweza kumaintain characters zao hata baada ya kupata pesa nyingi. Wengi wakishashika vijicent mmmh you will see their true colors. Good Lord I have/will never allow any man to treat me as one of his items, my man should respect me mnoooo tena nikiwepo na hata nisipokuwepi.Yani mulemule,kweli wanawake tunatofautiana,mtu anaekutafuta kupitia mali zake simply means anakununua hio sio relationship ni biashara..
Occasionally bae.Good for you.
So, for the record; hutumii make up kabisa, au ni occasionally?
Occasionally bae.
Always confident,And, do you feel the same with and without your make up on?
Bro... nimependa sana ukweli wako,Saa nyingine hiyo hali inachangiwa na low self esteem (inayosababishwa na poverty) kwa upande wetu sisi wanaume, nikupe mfano mzuri mm kuna dada mmoja mrembo sana alinionesha signs za kunitaka kimapenzi ila nlishindwa kum-approach kwa sababu nlijiona kuwa mm sio type yake, nlikuwa navaa nguo za mtumba..jeans mpauko mashati yenyewe nlikuwa nayo matatu, hlf dada mwenyewe ukimwangalia tu alivyo ni type za kina madam ritha (kwa jinsi anavyojiweka) and she looked expensive and beautiful, nikasema mmmh sipo class yake, nikafuta wazo la kumtongoza nikaona bora niwe nae karibu as friends stirctly for chatting, kutokuwa nae kimapenzi nahis kulinipunguzia headaches zisizo na msingi.. brenda18 Heaven Sent Valentina angelita
Saa nyingine hiyo hali inachangiwa na low self esteem (inayosababishwa na poverty) kwa upande wetu sisi wanaume, nikupe mfano mzuri mm kuna dada mmoja mrembo sana alinionesha signs za kunitaka kimapenzi ila nlishindwa kum-approach kwa sababu nlijiona kuwa mm sio type yake, nlikuwa navaa nguo za mtumba..jeans mpauko mashati yenyewe nlikuwa nayo matatu, hlf dada mwenyewe ukimwangalia tu alivyo ni type za kina madam ritha (kwa jinsi anavyojiweka) and she looked expensive and beautiful, nikasema mmmh sipo class yake, nikafuta wazo la kumtongoza nikaona bora niwe nae karibu as friends stirctly for chatting, kutokuwa nae kimapenzi nahis kulinipunguzia headaches zisizo na msingi.. brenda18 Heaven Sent Valentina angelita
Always confident,
Paulo hivyo hivyo, labda kama kuna party ndo make up itahusika. Ila kama nakutana na watu tu kivingine/ mizunguko ya kawaida tu, basi naenda zangu kawaida tu na nimezoeleka hivyo zaidi. I guess this is an inborn thingSame level of confidence, ukiwa na hata usipokuwa na make up??
Paulo hivyo hivyo, labda kama kuna party ndo make up itahusika. Ila kama nakutana na watu tu kivingine/ mizunguko ya kawaida tu, basi naenda zangu natural natural na nimezoeleka hivyo zaidi. I guess this is an inborn thing