Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Kikubwa alichokosea ndio hicho hajiamini, pili kumkubali kisa gari ni kujiibia hisia zangu.....infact ilibidi ajipange labda aniingie kwa njia nyingine
Mm nikija pale navyokuona na huo mzigo huwa nakupigia hesabu za magazijuto ujue
 
Kuna mambo mawili hapa yamechanganywa

1. Michepuko
2. Watafta wachumba au waoaji.

Mtu anayetafta mchepuko siku zote anatumia asset alonayo ili kutimiza haja yake, si kwamba hajiamini lakini anaona hakuna haja yakutumia nguvu nyiiingi kuanza kutongoza sijui miezi ndo uje ukubaliwe wakati anataka wa kumalizia hamu tu.

Aina ya pili ni watafta wachumba au MTU wa kufanya nae maisha. Always mtu huyu hawezi kufanya masihala ya kushow off gari au pesa labda awe kazaliwa na kukulia Dar so hajahudhuria jando.

Kwahiyo nashauri unapojenga hoja yako ujikite ktk hayo makundi mawili na usipecify ni kundi lipi hawajiamini. Usije kutufikilisha hapa kumbe unaongelea michepuko.
 
Mtu anadhani akiwa mambo safi ama HB ndio tikect ya kukubaliwa ama kutochomolewa...

Inawezekana ni kweli ila sio wote. Mwanaume kujiamini,njoo wewe kama wewe sio utangulize material things
Sawa dada mimi nitakuja pm mimi kama mimi.....
 
Kila kitu kina exception, kwa hyo we jana ulifanya kitu ambacho asilimia chache sana ndo wana fanya (ulikamata mnyonge wako) ila sera ya gari ni muhim na ukiwa na gari (hata la kuazima) na pesa (hata za kuigizia) utang'oa weng sana.
 
Kujiamini+good manner vinatosha kung'oa mtoto mkali, achana na machakubembe wanaotumia k zao kama mtaji, mademu wanaojielewa wapo sana tu sema wanaume samtym tunakuwaga na machaguo ya hovyo sana.
 
Mbona huwaulizi wanawake wenzio kwanini wanashoboka na magari na vitu vya kifahari, wanadhani mafanikio yanasambaa toka mtu hadi mtu kwa njia ya ngono?
 
Kujiamini+good manner vinatosha kung'oa mtoto mkali, achana na machakubembe wanaotumia k zao kama mtaji, mademu wanaojielewa wapo sana tu sema wanaume samtym tunakuwaga na machaguo ya hovyo sana.
Hela wewe watakuja tu...
 
Kwanza kabisa huu ugonjwa unawahusu baadhi narudia tena BAADHI na si wote ya wanaume wa dar na wa mikoani haujachagua hivyo kelele za kurushiana mpira kati yenu hazitobadili ukweli.

Kwakweli inawezekana wengi wenu mnajiona vidume ila kuna mambo yanafanyika kwa sasa na yanakuwa kwa kasi..it is pathetic mwanaume kuamini bila gari zuri hawezi kung'oa mwanamke mkali mjini duh, ukinunua gari kali tusigeuke kuliangalia vizuri we ushahisi umetakwa sawa kuna wanawake wanashoboka kwa magari yenu ila msijichanganye sio wote aiseee.

Juzi kati kuna kaka nilikuwa nachat kama mteja na aliagiza mzigo,siku ya kumkabidhi mzigo nilimuomba afike nilipo kwasababu nilishindwa kutoka nilipo, alipofika watu wote tuligeuka si kwa ndinga lile sitoweza kutaja aina ya gari isijekuwa yupo humu,ofcourse macho yalinitoka ndio simply kwasababu ni new model na hata mjini bado watu hawanalo.

Tumekabidhiana mzigo jioni chat za ajabu zikaanza ambazo sikuzi entertain, in few days he asked me out, nilimtolea nje akashangaa sana, badae katika kumbana alikubali kuwa hakuna mdada amewahi chomoa toka atinge town na hilo gari lake jipya, mxeeeew nilisonya nikampotezea ni vile tu tunafanya biashara na siwezi acha hio hela.

Huo ni mfano tu, labda niwaulize nyie wanaume mnaotumia njia hio kabla ya kuyanunua hayo magari mlikuwa wanachama wa chaputa au....mwanaume ukiona unakitabia hiki we jua tu huko ni kutokujiamini, mwanaume halisi hata kwa mguu au bila hela anang'oa tu heheheh hapa najua mtabisha ila habari ndio hio, inamaana nyie mkifulia mtaacha kula vinono, wanaume wa style hii mnashindwa hata kuheshimika maana hamjiamini yakhe.....

Kitandani ndio majangaz kabisa,yani mmefika stage mpaka umemaliza kugegeda huna uhakika kama my love wako kafika au la,mnakimbilia kwa wamasai na kunywa supu ya korodani, wengine mmefika stage mpaka mnafungua uzi mnasema mwaka huu humridhishi mtu ukimaliza wewe inatosha na wengi mlimiminika ati hahahaha hizo ni dalili uchovu wa kitandani unaongezeka kwa kasi maskini, mwanaume weka heshima kitandani chaaaa punguzeni kutokujiamini.

My last shot ni hiki kitabia mwanaume mkiwa na kiugomvi kidogo, usimpe ukweli usimkosoe anakimbilia "we kama umepata mwingine sema tu" nonsense hivi mmekuaje hamuwezi kujiamini kwa mambo madogo madogo na makubwa pia sijajua shida ni nini....nyie si ndio vichwa muwe kama vichwa kweli...mnafanya mdharaulike pyeeee

Haya sasa nyie nirushieni tu mawe, niiteni majina yote hakuna jipya hapa duniani ila najua wahusika kiujumbe kimewafikia...poleni nilipokosea na kuchanganya lugha

Weekend njema....
safi sana dada maana kuna wanaume hawajiamini kabisa, wakinunua vigari vya mikopo basi mtaani kila mwanamke wanatongoza, vigari venyewe starlet, spacio na mengine ya bei rahisi
 
Anachosema ni kweli kuwa wewe ndio umechomoa na pengine ni kwasababu umeolewa juzijuzi ila ungekuwa single naamini hata wewe ungejishangaa umeingia ndani ya gari bila hata kuambiwa
 
Ni kweli kabisa 'mwanaume kiumbe adimu aliye hatarini kutoweka duniani'
 
Back
Top Bottom