Sababu zipo 2; ya kwanza nitakupa wakati muafaka but sababu ya pili; napenda totoz za mjini lakini sizizoshoboka and plz, don't stop me coz' it won't work!Sababu za kudevelop crush chige ni zipi, nifungue macho..
Sababu zipo 2; ya kwanza nitakupa wakati muafaka but sababu ya pili; napenda totoz za mjini lakini sizizoshoboka and plz, don't stop me coz' it won't work!Sababu za kudevelop crush chige ni zipi, nifungue macho..
Asante sana Heaven nimekuelewa mnoooo.Teh teh teh "Guys be like, natafuta driver, I got a new car........".[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Utaona tu wanatiana moyo, "wewe Tafuta tu pesa, utang'oa mademu wa kila aina". Naishiaga tu kuwaombea kimya kimya so that at least they can receive some good damn sense. Unatafuta hela kwa ajili ya mwanamke, geeeeez, you really need deliverance ASAP sweetheart. It's as if there is a special market where women are sold, yoi just go with your cash and buy a woman of your choice. Anyway, maybe your dreams are atill valid. Mwingine hela anazipata na bado hatakiwi maskini
Ila rejection inauma nyie, kiruuu. Mtu akikataliwa wenzie watamshauri "wewe muache tu, Tafuta hela, ataenda huko atachezewa afu akirudi kwako umeshafanikiwa na una familia yako". Kwamba mtu tu akikutaa basi lazima huko kwingine atachezewa, ila kujipa moyo muhimu na as if kuna SI Unit ya mafanikio kwamba rejection= Success. Ningetafuta watu na mie mbona wanikatae, wakirudi tu nishafanikiwa teh, simplee. Usikataliwe wewe nani jamani kwa mfano aghaaa, usisahau kuna kitu kinaitwa double coincidence of vigezo, so kuna mahali tu vigezo havitamatch . Kwa hiyo ukiwa huna hela ndo sharti ukubaliwe au, ukikataliwa tu "ooh kisa sina hela". Wanaume mjiamini tu jamani, hizo hela zenyewe za kukufanya ung'oe kila demu ziko wapi. Afu hata kama utataka kuhonga, Kila muhongwaji ana price yake, you will never afford some of them wahongwaji. Tafuta hela kwa ajili ya future yako kwanza na sio kwa ajili ya mwanamke.
#Meambizii#
Dah! Afadhali aisee...Hahaha.....mi sijaolewa bana....wapo wengi tu single na wanajielewa...
Mmmh ukweli unauma, ila hatuna jinsi tutakumbushana tu. Yani mtu akiwa tu na vijicent anahisi maisha ya kila mwanamke yana-evolve around him. Mmh wapo utakaowabeba, lakini sio wote. Hatusemi kwamba tudate broke brothas maana umaskini sio sifa wala kigezo cha kupendwa. Ila mtu asihisi kwamba pesa ndo inacontrol mahusiano yake, ni muhimu sana iwepo lakini sio kwamba ndo kila kitu kwenye mahusiano. Ndo maana mwingine anamtreat mwanawake wake anavyojisikia daah, maana anahisi mwanamke ni one of his items kwa sababu tu ana hela. Utaachwa tu pamoja na vijicent vyako, kalagabahoHahaha kama kawaida yako...mumerusha kibomu, we mtoto wa kinyaki wewe una hatari..
Kama ndo hivyo mi nashkuru sana Mungu. Cjawahi kujihisi inferior toka kupata ufahamu japo kila kitu ni shida kwangu. Najiamini kinoma na life yangu.mtu anayesema mali na pesa kwake sio kitu huyo ana pesa na mali tayari, pengine alikulia familia ya kitajiri na sasa pia anajitegemea na au ameolewa na tajiri na kweli hapo pesa sio ishu sana
ila mtu ambaye ameanzia zero kasoma kwa mbinde, kazi akapata kwa mbinde, masimango mengi, huyo anajua pesa ina nguvu gani na inawezaje kumdhalilisha mtu hata akajutia kuzaliwa na kutamani kujiondoa kwenye hii dunia
Design yako ndio wanaume niliowaongelea hapa....umeshajiaminisha hivyo, kesho ukiamka huna sijui maisha yako yatasimama?
kama mtu umeishi katika ulimwengu zote mbili (ulikuwa masikini uka struggle then ukawa tajiri au ulianzia kwenye utajiri ukaporomoka ukawa masikini) hapo ndio utaona pesa ni niniKama ndo hivyo mi nashkuru sana Mungu. Cjawahi kujihisi inferior toka kupata ufahamu japo kila kitu ni shida kwangu. Najiamini kinoma na life yangu.
na nyie w'wake mnahusika ktk upungufu wa nguvu za kiume unapompikia mwanaume chipsi unategemea nini? hasa hasa wanawake wa Daslamu
Wanawake wa siku hizi wanapenda hela. Kwahiyo wamefanya wanaume wazoee kuwa-treat hivyo. Kama.wewe hauko hivyo basi wabawake wenzako karibu wote wako hivo. Kwahiyo imekuwa kama utamaduni.
mi hela napenda ila namjibu huyu aliyesema wanaume hawajiamini wanafikiri wakitumia hela ndo watapata mabinti wakati ukweli ndo huo kwamba mabinti hawataki wasiokuwa na hela.Kweli wapo wanawakubali wanaume bila ya hela lakini kwa hali ya sasa hao ni wachache sana ukilinganisha na wanaomkubali mtu kwasababu anazo.we hupendi hela???
Acheni mbwe mbwe nyie kina Eva wa Sasa mliojaa ubaguzi wa wa kimaslahi, mkiona minoti mnachanganyikiwa kabisaaaaa!!!, pesa sabuni ya roho banaMtu anadhani akiwa mambo safi ama HB ndio tikect ya kukubaliwa ama kutochomolewa...
Inawezekana ni kweli ila sio wote. Mwanaume kujiamini,njoo wewe kama wewe sio utangulize material things
Unaona sasa,ukapoteza bahati hivi hivi maskini ya mweeh!Saa nyingine hiyo hali inachangiwa na low self esteem (inayosababishwa na poverty) kwa upande wetu sisi wanaume, nikupe mfano mzuri mm kuna dada mmoja mrembo sana alinionesha signs za kunitaka kimapenzi ila nlishindwa kum-approach kwa sababu nlijiona kuwa mm sio type yake, nlikuwa navaa nguo za mtumba..jeans mpauko mashati yenyewe nlikuwa nayo matatu, hlf dada mwenyewe ukimwangalia tu alivyo ni type za kina madam ritha (kwa jinsi anavyojiweka) and she looked expensive and beautiful, nikasema mmmh sipo class yake, nikafuta wazo la kumtongoza nikaona bora niwe nae karibu as friends stirctly for chatting, kutokuwa nae kimapenzi nahis kulinipunguzia headaches zisizo na msingi.. brenda18 Heaven Sent Valentina angelita
Punguza kukariri...Acheni mbwe mbwe nyie kina Eva wa Sasa mliojaa ubaguzi wa wa kimaslahi, mkiona minoti mnachanganyikiwa kabisaaaaa!!!, pesa sabuni ya roho bana