Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha I really dunno. Maybe kucomplement kivazi na heel amazing, so nakuwa on fulik. (Afu maswali yaishe basi mwee)Role ya make up kwako ni ipi sasa?

Nlichokipenda kutoka kwako ni kwamba umesema ukweli.mimi naamini katika mali, sipendi umasikini ila pia sipend show off za kiduwanzi, ni utoto
dada zangu na mabinti zangu pia nawambia wazingatie elimu wafanye kazi ili kuwa na mali, pia bwana watakaemchagua waangalie uwezo wake na msukumo wake kwenye kupata mali,
mali ni muhimu katika mahusiano na familia ili kujenga uhusiano na familia bora, ila wasije wakauza utu wao kwa ajili ya mali
kwenye jamii niliyotokea mali na elimu ni kitu cha muhimu sana
napenda mali na pesa sio kwa ajili ya kuringishia mademu au watu ila kwa ajili ya security yangu na ya watu niwapendao
non material things kama kukung'utana kitandani na vitu vingine sentimental vina nafasi ila pesa na mali ndio vya kwanza
sipendi kuomba wala kujishusha, napenda pesa na mali na wala sioni aibu kusema
Hahaha I really dunno. Maybe kucomplement kizazi na heel amazing, so nakuwa on fulik. (Afu maswali yaishe basi mwee)
My bad ni kivazi mwee. Thanks anyway, weekend njema hahahI rest my case.
Huyu tayari ashaelekea kwa muuza supu mwenyewe..Gari ulilipenda lkn?!...jamaa tu hajaingia na gia za kijasusi
Hao wazee wa zamani ndo unataka kusemeje kuwa walikuwa hawahongi....!?? nyoo... Usisahau zaman ukimtaka mwanamke lazima umlimie shamba, umsaidie kazi mfano kubeba mizigo, usaidie/umjengee nyumba, umletee vizawadi mfano matunda na mengine mengi. Sasa utaona hapo kuwa hao wazee wa zamani walikuwa nao ni wahongoji ila kwa namna ya kizamani, ila kwa sasa ndo utahongwa gari, pesa, nyumba n.kExactly vale ndio maana hawaishi kulalama....hivi humu hakuna wazee wawape tactics za zamani maana ni shidaa
Ntakukumbusha next month nione kama hutakuwa umeingia line kwa huyu mshkaji..Kwanza kabisa huu ugonjwa unawahusu baadhi narudia tena BAADHI na si wote ya wanaume wa dar na wa mikoani haujachagua hivyo kelele za kurushiana mpira kati yenu hazitobadili ukweli.
Kwakweli inawezekana wengi wenu mnajiona vidume ila kuna mambo yanafanyika kwa sasa na yanakuwa kwa kasi..it is pathetic mwanaume kuamini bila gari zuri hawezi kung'oa mwanamke mkali mjini duh, ukinunua gari kali tusigeuke kuliangalia vizuri we ushahisi umetakwa sawa kuna wanawake wanashoboka kwa magari yenu ila msijichanganye sio wote aiseee.
Juzi kati kuna kaka nilikuwa nachat kama mteja na aliagiza mzigo,siku ya kumkabidhi mzigo nilimuomba afike nilipo kwasababu nilishindwa kutoka nilipo, alipofika watu wote tuligeuka si kwa ndinga lile sitoweza kutaja aina ya gari isijekuwa yupo humu,ofcourse macho yalinitoka ndio simply kwasababu ni new model na hata mjini bado watu hawanalo.
Tumekabidhiana mzigo jioni chat za ajabu zikaanza ambazo sikuzi entertain, in few days he asked me out, nilimtolea nje akashangaa sana, badae katika kumbana alikubali kuwa hakuna mdada amewahi chomoa toka atinge town na hilo gari lake jipya, mxeeeew nilisonya nikampotezea ni vile tu tunafanya biashara na siwezi acha hio hela.
Huo ni mfano tu, labda niwaulize nyie wanaume mnaotumia njia hio kabla ya kuyanunua hayo magari mlikuwa wanachama wa chaputa au....mwanaume ukiona unakitabia hiki we jua tu huko ni kutokujiamini, mwanaume halisi hata kwa mguu au bila hela anang'oa tu heheheh hapa najua mtabisha ila habari ndio hio, inamaana nyie mkifulia mtaacha kula vinono, wanaume wa style hii mnashindwa hata kuheshimika maana hamjiamini yakhe.....
Kitandani ndio majangaz kabisa,yani mmefika stage mpaka umemaliza kugegeda huna uhakika kama my love wako kafika au la,mnakimbilia kwa wamasai na kunywa supu ya korodani, wengine mmefika stage mpaka mnafungua uzi mnasema mwaka huu humridhishi mtu ukimaliza wewe inatosha na wengi mlimiminika ati hahahaha hizo ni dalili uchovu wa kitandani unaongezeka kwa kasi maskini, mwanaume weka heshima kitandani chaaaa punguzeni kutokujiamini.
My last shot ni hiki kitabia mwanaume mkiwa na kiugomvi kidogo, usimpe ukweli usimkosoe anakimbilia "we kama umepata mwingine sema tu" nonsense hivi mmekuaje hamuwezi kujiamini kwa mambo madogo madogo na makubwa pia sijajua shida ni nini....nyie si ndio vichwa muwe kama vichwa kweli...mnafanya mdharaulike pyeeee
Haya sasa nyie nirushieni tu mawe, niiteni majina yote hakuna jipya hapa duniani ila najua wahusika kiujumbe kimewafikia...poleni nilipokosea na kuchanganya lugha
Weekend njema....
Mimi mwanaume kweri, karibu tuyajengeKwanza kabisa huu ugonjwa unawahusu baadhi narudia tena BAADHI na si wote ya wanaume wa dar na wa mikoani haujachagua hivyo kelele za kurushiana mpira kati yenu hazitobadili ukweli.