Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

HahhaH, why hukunishtua mdogo wang tukashangae wote lol!
Bora hata huyo mweny hyo ndinga, wengne wana vigari vya mkopo na promotion ila still wanahis wanashobokewa...
 
brenda18
Inaonyesha una bahati mbaya sana na wanaume,
Most of your posts zinaonyesha hujawahi kumpata mzuri.
But believe me even Choosing a good guy in town requires a great deal of common sense, some women have this some don't.

Pole sana gwakukaja, pole sana gwa kumyitu.
that's how the world is, there are losers and winners.
And it happens you have never been on a winning side.

Hahhahhah brenda18 nataman nikujibie hapa mdogo wang ila njoo umjibu mwenyew
 
Mtoa mada sina la kuchangia kukubali na ama kukukataa,,niweke hadharani nimekupenda nahitaji uwe wangu mama
 
Mtu anadhani akiwa mambo safi ama HB ndio tikect ya kukubaliwa ama kutochomolewa...

Inawezekana ni kweli ila sio wote. Mwanaume kujiamini,njoo wewe kama wewe sio utangulize material things

Hapo kwenye red sasa ndo itokee ukamtamkia kwamba wewe ni HB ndo balaa utasambazwa kuwa unamtaka kumbe mtu umeappreciate uumbaji wa Mungu. Au mwingine kapiga pamba yake vizuri ukimsifia tu ishakuwa nongwa anaanza mitongozo ,binafsi huwa nafurahia sana mwanaume akiwa smart na pale anapokuwa amefanya hivyo huwa sioni haya kumwambia na kumpongeza kuwa ametokelezea,kumbe mwenzako anawaza mengi.....
 
Hapo utajuta mbona! Akishajijua yeye ni HB basi atatumia hiyo kama ndoano yake,ni full kuwapanga na ndio wale wakujisifia hakuna mwenye ujanja wa kuchomoa kwake

Tena ukute kajaliwa vyote uzuri na material things hapo ni shida + + yani. Wawe wanaangalia ramani imekaaje,sio wote wanaoshobokea hizo shobo zao
 
Kwanza kabisa huu ugonjwa unawahusu baadhi narudia tena BAADHI na si wote ya wanaume wa dar na wa mikoani haujachagua hivyo kelele za kurushiana mpira kati yenu hazitobadili ukweli.

Kwakweli inawezekana wengi wenu mnajiona vidume ila kuna mambo yanafanyika kwa sasa na yanakuwa kwa kasi..it is pathetic mwanaume kuamini bila gari zuri hawezi kung'oa mwanamke mkali mjini duh, ukinunua gari kali tusigeuke kuliangalia vizuri we ushahisi umetakwa sawa kuna wanawake wanashoboka kwa magari yenu ila msijichanganye sio wote aiseee.

Juzi kati kuna kaka nilikuwa nachat kama mteja na aliagiza mzigo,siku ya kumkabidhi mzigo nilimuomba afike nilipo kwasababu nilishindwa kutoka nilipo, alipofika watu wote tuligeuka si kwa ndinga lile sitoweza kutaja aina ya gari isijekuwa yupo humu,ofcourse macho yalinitoka ndio simply kwasababu ni new model na hata mjini bado watu hawanalo.

Tumekabidhiana mzigo jioni chat za ajabu zikaanza ambazo sikuzi entertain, in few days he asked me out, nilimtolea nje akashangaa sana, badae katika kumbana alikubali kuwa hakuna mdada amewahi chomoa toka atinge town na hilo gari lake jipya, mxeeeew nilisonya nikampotezea ni vile tu tunafanya biashara na siwezi acha hio hela.

Huo ni mfano tu, labda niwaulize nyie wanaume mnaotumia njia hio kabla ya kuyanunua hayo magari mlikuwa wanachama wa chaputa au....mwanaume ukiona unakitabia hiki we jua tu huko ni kutokujiamini, mwanaume halisi hata kwa mguu au bila hela anang'oa tu heheheh hapa najua mtabisha ila habari ndio hio, inamaana nyie mkifulia mtaacha kula vinono, wanaume wa style hii mnashindwa hata kuheshimika maana hamjiamini yakhe.....

Kitandani ndio majangaz kabisa,yani mmefika stage mpaka umemaliza kugegeda huna uhakika kama my love wako kafika au la,mnakimbilia kwa wamasai na kunywa supu ya korodani, wengine mmefika stage mpaka mnafungua uzi mnasema mwaka huu humridhishi mtu ukimaliza wewe inatosha na wengi mlimiminika ati hahahaha hizo ni dalili uchovu wa kitandani unaongezeka kwa kasi maskini, mwanaume weka heshima kitandani chaaaa punguzeni kutokujiamini.

My last shot ni hiki kitabia mwanaume mkiwa na kiugomvi kidogo, usimpe ukweli usimkosoe anakimbilia "we kama umepata mwingine sema tu" nonsense hivi mmekuaje hamuwezi kujiamini kwa mambo madogo madogo na makubwa pia sijajua shida ni nini....nyie si ndio vichwa muwe kama vichwa kweli...mnafanya mdharaulike pyeeee

Haya sasa nyie nirushieni tu mawe, niiteni majina yote hakuna jipya hapa duniani ila najua wahusika kiujumbe kimewafikia...poleni nilipokosea na kuchanganya lugha

Weekend njema....
Umejitahidi, japo nimepata picha kuwa umepitpita sana na onja onja nyingi,cjui ni sabab ya utafiti!
Kinga unakumbuka lakini?
 
Umesema vizuri tu mdada,,ila tatizo kwa wale ambao hawana shughuli yoyote ya kuwaingizia kipata,,shukuru unakajishughuli cha kukuingizia hata buku 2500 ya pedi,,kuna wenzako hawana uwakika huo,,pata picha anapotakiwa na MTU mwenyewe visent,,ukweli ni kwamba sometimes inabidi uweke selection ya aina mwanaume ili ukidhi shida zako,,kuhusu kutojiamini ni tofauti ya hulka za wanaume ,,ila kumbuka idadi kubwa ya wanawake wanatarget sana wanaume wenye Pesa,,so nnirahisi kupata mwanamke unapokuwa na ulimbo wao ( cha kwenda huku umekaa),,
Hata hivyo nakusifu kumchomolea mwana mwenyewe ndinga na mpunga siyo wanawake wa sampuli yako utapata siku hizi
 
Maneno yako mazima lakini inaonekana kama kuna siri nyuma ya pazia kwenye hii story yako. Wanawake wengi(98%) wanapenda wanaume wenye Kazi, Nyumba, Gari, Pesa, Handsome na Mwenye dushe kubwa. Halafu sasa gari lake umelitolea macho bila ya kusahau kataka kukutoa out sio kama anakutaka.
 
Why answer for her?
Do you share her opinions?
Hahaha anakucheka kwasababu umeenda chaka and to help you better she is my blood sister....punguza hisia my posts here hazi relate sana na maisha yangu, kwa wanaonijua wachache wangekusaidia....
 
HahhaH, why hukunishtua mdogo wang tukashangae wote lol!
Bora hata huyo mweny hyo ndinga, wengne wana vigari vya mkopo na promotion ila still wanahis wanashobokewa...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hii message bila shaka ni ya k maana ulimvumilia kwelikweli, na umeiandika kwa ukali khaa shkamoo....
 
Hapo kwenye red sasa ndo itokee ukamtamkia kwamba wewe ni HB ndo balaa utasambazwa kuwa unamtaka kumbe mtu umeappreciate uumbaji wa Mungu. Au mwingine kapiga pamba yake vizuri ukimsifia tu ishakuwa nongwa anaanza mitongozo ,binafsi huwa nafurahia sana mwanaume akiwa smart na pale anapokuwa amefanya hivyo huwa sioni haya kumwambia na kumpongeza kuwa ametokelezea,kumbe mwenzako anawaza mengi.....
Hahaha sasa kuna wale wanajijua ni mahb, hao huwa siwageuzii macho mara mbili maana washazoea kushobokewa, unamkaushia tu ndio dawa yao..
 
Umejitahidi, japo nimepata picha kuwa umepitpita sana na onja onja nyingi,cjui ni sabab ya utafiti!
Kinga unakumbuka lakini?
Hahaha jambilo hunaga kitu positive cha kusema kuhusu mimi, inawezekana kuna sehemu nilisema jambo likakukwaza sana mpaka leo, pole lakini...wewe kinga unakumbuka lakini?
 
Maneno yako mazima lakini inaonekana kama kuna siri nyuma ya pazia kwenye hii story yako. Wanawake wengi(98%) wanapenda wanaume wenye Kazi, Nyumba, Gari, Pesa, Handsome na Mwenye dushe kubwa. Halafu sasa gari lake umelitolea macho bila ya kusahau kataka kukutoa out sio kama anakutaka.
Ingekuwa nikimkubali ile ndinga inakuwa yangu ningemkubali fasta, but things dont work that way, tuachane na hayo point is aliniboa kutumia gari kama njia ya kutongozea...
 
Wanawake wa siku hizi wanapenda hela. Kwahiyo wamefanya wanaume wazoee kuwa-treat hivyo. Kama.wewe hauko hivyo basi wabawake wenzako karibu wote wako hivo. Kwahiyo imekuwa kama utamaduni.
Inamaana wewe bila pesa hupati mwanamke kabisa? Au husikiagi tukilia tumekopwa...kuna wanaume ni wajanja hupati chochote kwake na upo nae jinsi alivyokunasa hata wewe huelewi...
 
Back
Top Bottom