Kama ni hivyo basi mwanaume anakuwa amekupa maneno ya kukuaminisha kuna kitu kizuri mbele yako. Na wakati mwingine wengine huenda mbali na kujitoa siku za mwanzoni mwa mahusiano. Wanaume wengi wanajua ukishaingia ndani ya 18 siku ya kwanza ni rahisi kukupata hata siku nyingine kwakuwa ameshakuvua. Ila tuseme ukweli sasa hivi hali imekuwa tofauti. wanawake wengi wanaangalia watapata nini kwa mwanaume. Wakati mwingine siyo lazima umpe hela mwanzoni lakini wanakuwa tayari wamepiga mahesabu ya huko mbeleni.Inamaana wewe bila pesa hupati mwanamke kabisa? Au husikiagi tukilia tumekopwa...kuna wanaume ni wajanja hupati chochote kwake na upo nae jinsi alivyokunasa hata wewe huelewi...
Naiomba mm hiyo nafasiHahaha.....mi sijaolewa bana....wapo wengi tu single na wanajielewa...
Nashukuru Kwa ushauri wako.....!Hahaha we endelea kujenga tu,gari nunua kwa raha zako ila si kwa kukimbizia vimwana,najua hata hivyo ulivyo bado unawang'oa tu..
Yeess..... watumiaji twajuana hata mwendo...frm vry distance.wote wamekimbilia ya gari ya kitandani wameacha teh...
Hahaha kwanini?unahisi naandika nikiwa high?
Nilipomjibu no aliendelea kuhoji kwanini etc ndipo na mi nilimuhoji maswali yangu na siku hiohio tulimaliza kuchat hatujaendelea tena...So ulimtosa ila Bado ukaendelea kuongea nae kuhusu malavi davi hadi akakwambia Hakuna aliyewahi mtosa toka amepata hilo gari.. Something fishy hapa.. Jamaa hakukaza ipasavyo otherwise hii topic ingekuwa ya kumsifia jamaa
Tactics zipi? Pesa ndio tactics, mapenzi yamekuwa biashara. Wanaume wote wanaelewa hilo. Na wanawake ndio waliobiasharisha mapenzi.Exactly vale ndio maana hawaishi kulalama....hivi humu hakuna wazee wawape tactics za zamani maana ni shidaa
Tafuteni pesa kwanza, na hao (wanawake) mtazidishiwa.Valeee... hata wewe..!!? Mnaposemaga kuwa usipokuwa na hela wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji hivi huwa mnamaanisha nini..?!
Sawa. Ulimtosa sababu kaingia kwa gia ya gari au kwa Sababu zingine ila gari ikiwa moja wapo?Nilipomjibu no aliendelea kuhoji kwanini etc ndipo na mi nilimuhoji maswali yangu na siku hiohio tulimaliza kuchat hatujaendelea tena...
Utalia lia ndani ya dar es salaam,We huwa unalialia sana hapa, kwa style hio utaendelea kulizwa sana na hao wa huko Tanzania daslam ulipo shaurilo
Mwanaume pesa, hayo mengine bwembwe tu.Angekuja na baisikeli bila shaka tusingeuona huu uzi....
then sth is wrong smwhr...Aisee mbona mimi sio mtumiaji wa hayo mambo kabisaa[emoji3] [emoji3]
Wadada wengi wa mjini wanashobokea magari mazuri. Mdada kaingia kingi because of gari, halafu analalama eti mwanaume hana tactics, tactics zipi? wakati pesa na magari mazuri ndio mtama kwa Watoto(tactics).Kikubwa alichokosea ndio hicho hajiamini, pili kumkubali kisa gari ni kujiibia hisia zangu.....infact ilibidi ajipange labda aniingie kwa njia nyingine