Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

brenda18

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,687
5,275
Kwanza kabisa huu ugonjwa unawahusu baadhi narudia tena BAADHI na si wote ya wanaume wa dar na wa mikoani haujachagua hivyo kelele za kurushiana mpira kati yenu hazitobadili ukweli.

Kwakweli inawezekana wengi wenu mnajiona vidume ila kuna mambo yanafanyika kwa sasa na yanakuwa kwa kasi..it is pathetic mwanaume kuamini bila gari zuri hawezi kung'oa mwanamke mkali mjini duh, ukinunua gari kali tusigeuke kuliangalia vizuri we ushahisi umetakwa sawa kuna wanawake wanashoboka kwa magari yenu ila msijichanganye sio wote aiseee.

Juzi kati kuna kaka nilikuwa nachat kama mteja na aliagiza mzigo,siku ya kumkabidhi mzigo nilimuomba afike nilipo kwasababu nilishindwa kutoka nilipo, alipofika watu wote tuligeuka si kwa ndinga lile sitoweza kutaja aina ya gari isijekuwa yupo humu,ofcourse macho yalinitoka ndio simply kwasababu ni new model na hata mjini bado watu hawanalo.

Tumekabidhiana mzigo jioni chat za ajabu zikaanza ambazo sikuzi entertain, in few days he asked me out, nilimtolea nje akashangaa sana, badae katika kumbana alikubali kuwa hakuna mdada amewahi chomoa toka atinge town na hilo gari lake jipya, mxeeeew nilisonya nikampotezea ni vile tu tunafanya biashara na siwezi acha hio hela.

Huo ni mfano tu, labda niwaulize nyie wanaume mnaotumia njia hio kabla ya kuyanunua hayo magari mlikuwa wanachama wa chaputa au....mwanaume ukiona unakitabia hiki we jua tu huko ni kutokujiamini, mwanaume halisi hata kwa mguu au bila hela anang'oa tu heheheh hapa najua mtabisha ila habari ndio hio, inamaana nyie mkifulia mtaacha kula vinono, wanaume wa style hii mnashindwa hata kuheshimika maana hamjiamini yakhe.....

Kitandani ndio majangaz kabisa,yani mmefika stage mpaka umemaliza kugegeda huna uhakika kama my love wako kafika au la,mnakimbilia kwa wamasai na kunywa supu ya korodani, wengine mmefika stage mpaka mnafungua uzi mnasema mwaka huu humridhishi mtu ukimaliza wewe inatosha na wengi mlimiminika ati hahahaha hizo ni dalili uchovu wa kitandani unaongezeka kwa kasi maskini, mwanaume weka heshima kitandani chaaaa punguzeni kutokujiamini.

My last shot ni hiki kitabia mwanaume mkiwa na kiugomvi kidogo, usimpe ukweli usimkosoe anakimbilia "we kama umepata mwingine sema tu" nonsense hivi mmekuaje hamuwezi kujiamini kwa mambo madogo madogo na makubwa pia sijajua shida ni nini....nyie si ndio vichwa muwe kama vichwa kweli...mnafanya mdharaulike pyeeee

Haya sasa nyie nirushieni tu mawe, niiteni majina yote hakuna jipya hapa duniani ila najua wahusika kiujumbe kimewafikia...poleni nilipokosea na kuchanganya lugha

Weekend njema....
 
mimi naamini katika mali, sipendi umasikini ila pia sipend show off za kiduwanzi, ni utoto

dada zangu na mabinti zangu pia nawambia wazingatie elimu wafanye kazi ili kuwa na mali, pia bwana watakaemchagua waangalie uwezo wake na msukumo wake kwenye kupata mali,

mali ni muhimu katika mahusiano na familia ili kujenga uhusiano na familia bora, ila wasije wakauza utu wao kwa ajili ya mali

kwenye jamii niliyotokea mali na elimu ni kitu cha muhimu sana
napenda mali na pesa sio kwa ajili ya kuringishia mademu au watu ila kwa ajili ya maisha bora kwangu na ya watu niwapendao,

non material things kama kukung'utana kitandani na vitu vingine sentimental vina nafasi ila pesa na mali ndio vya kwanza

sipendi kuomba wala kujishusha, napenda pesa na mali na wala sioni aibu kusema
 
Mtu anadhani akiwa mambo safi ama HB ndio tikect ya kukubaliwa ama kutochomolewa...

Inawezekana ni kweli ila sio wote. Mwanaume kujiamini,njoo wewe kama wewe sio utangulize material things
Exactly vale ndio maana hawaishi kulalama....hivi humu hakuna wazee wawape tactics za zamani maana ni shidaa
 
Tehtehteh! Game linaendeleaaa!... !! Mpira ndoo kwaanza unaaanza.... Haya wapinzani mpo? Teh! Teh! Teh! Ngoja nkanunue popcorn..ntarudi!
Hahaha, bidada usiwacheke hivyo unawasha moto kwenye petroli
 
Mtu anadhani akiwa mambo safi ama HB ndio tikect ya kukubaliwa ama kutochomolewa...

Inawezekana ni kweli ila sio wote. Mwanaume kujiamini,njoo wewe kama wewe sio utangulize material things
Valeee... hata wewe..!!? Mnaposemaga kuwa usipokuwa na hela wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji hivi huwa mnamaanisha nini..?!
 
Back
Top Bottom