Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Nimefika bei ngoja nije pm tuyapange , natafuta wife mwenye mtazamo huo.
Mimi sijasupport ubahili wenu na mikono yenu mifupi ya kuspoil wanawake, hapana uchoyo naukataa kwa herufi kubwa...point yangu jitahidini kuwatokea kina dada kwa njia nyingine na sio material things unless kama mnanunua CD, lakini kama ni mwanamke unaempenda kabisa na una malengo nae jiamini tu kama ulivyo...
 
brenda18
Inaonyesha una bahati mbaya sana na wanaume,
Most of your posts zinaonyesha hujawahi kumpata mzuri.
But believe me even Choosing a good guy in town requires a great deal of common sense, some women have this some don't.

Pole sana gwakukaja, pole sana gwa kumyitu.
that's how the world is, there are losers and winners.
And it happens you have never been on the winning side.
Mdogo angu usilolijua ni kama usiku wa giza, nilioshewa mbahatibahati utotoni...hizo bahati mbaya zako si za wote...
 
Sababu zipo 2; ya kwanza nitakupa wakati muafaka but sababu ya pili; napenda totoz za mjini lakini sizizoshoboka and plz, don't stop me coz' it won't work!
Khaa sasa chige mie wa huku tenende kyela na umjini wapi na wapi aisee....
 
Nilikuwa Na mpango wa kununua Gari sasa itabidi niendelee tu nilivyo.....!
Hahaha we endelea kujenga tu,gari nunua kwa raha zako ila si kwa kukimbizia vimwana,najua hata hivyo ulivyo bado unawang'oa tu..
 
Mmmh ukweli unauma, ila hatuna jinsi tutakumbushana tu. Yani mtu akiwa tu na vijicent anahisi maisha ya kila mwanamke yana-evolve around him. Mmh wapo utakaowabeba, lakini sio wote. Hatusemi kwamba tudate broke brothas maana umaskini sio sifa wala kigezo cha kupendwa. Ila mtu asihisi kwamba pesa ndo inacontrol mahusiano yake, ni muhimu sana iwepo lakini sio kwamba ndo kila kitu kwenye mahusiano. Ndo maana mwingine anamtreat mwanawake wake anavyojisikia daah, maana anahisi mwanamke ni one of his items kwa sababu tu ana hela. Utaachwa tu pamoja na vijicent vyako, kalagabaho
Yani mulemule,kweli wanawake tunatofautiana,mtu anaekutafuta kupitia mali zake simply means anakununua hio sio relationship ni biashara..
 
Ngoja nibadili lugha labda utanielewa. Ni kawaida kwa mwanaume kujiamini zaidi(mind "zaidi"), anapokuwa na umiliki wa vitu fulani. Si lazima gari, hata nikivaa raba kali, khakis imenikubali, shati imelala na mwili, nimeoga, nina change kadhaa kwa wallet, lazima kujiamini kwangu kutakuwa juu zaidi ya ambavyo ningekuwa kinyume na hapo. Kujiamini kunachangiwa sana na kujisikia vizuri.

I bet hata wewe na kina mama wenzio wengi tu, viwango vyenu vya kujiamini huchangiwa na namna make up ilivyofanywa, wig/weaving(?), umevaa nini, n.k.
Bado sijakubaliana na wewe,hujanielewa pia...
 
Good Lord,
I don't remember asking her if she's your sister,
I only remember asking if she shares your opinion.
Blood sisters or Kissing cousins that ain't my freakin problem.

brenda18, Wewe una uhakika gani post zangu hapa zinaendana na hisia zangu halisi?
despertar a mi amigo ;no creas todo lo que ves en internet !!!!
Unajikanyaga kanyaga,rudia ulichokisema mwanzo na si lazima uchangie huu uzi do yourself a favour ya kutoa kibamia chako hapa....
 
Ingekuwa nikimkubali ile ndinga inakuwa yangu ningemkubali fasta, but things dont work that way, tuachane na hayo point is aliniboa kutumia gari kama njia ya kutongozea...
[emoji1] [emoji1] Umenikumbusha ex-wangu tulidate kwa 6 months alitaka nimuazime gari yangu sikumpa hata siku moja. Sasa ulitaka aje kwa miguu? Inawezekana umemfahamu vibaya pengine na yeye moyoni kakuona mtoto mzuri ila hajaweza kukutolea macho tu. Ndio akataka kukutoa out ili aangalie urefu wa kamba yako
 
Unajikanyaga kanyaga,rudia ulichokisema mwanzo

brenda18
Inaonyesha una bahati mbaya sana na wanaume,
Most of your posts zinaonyesha hujawahi kumpata mzuri.
But believe me even Choosing a good guy in town requires a great deal of common sense, some women have this some don't.

Pole sana gwakukaja, pole sana gwa kumyitu.
that's how the world is, there are losers and winners.
And it happens you have never been on the winning side.

na si lazima uchangie huu uzi do yourself a favour ya kutoa kibamia chako hapa....

You are too small to be hugely Irritating.

Kikubwa alichokosea ndio hicho hajiamini, pili kumkubali kisa gari ni kujiibia hisia zangu.....infact ilibidi ajipange labda aniingie kwa njia nyingine
Basi kama yeye kashindwa mwengilie ww kwa style yako...
 
[emoji1] [emoji1] Umenikumbusha ex-wangu tulidate kwa 6 months alitaka nimuazime gari yangu sikumpa hata siku moja. Sasa ulitaka aje kwa miguu? Inawezekana umemfahamu vibaya pengine na yeye moyoni kakuona mtoto mzuri ila hajaweza kukutolea macho tu. Ndio akataka kukutoa out ili aangalie urefu wa kamba yako
[emoji3] [emoji3] stori nimeifupisha hio,yani kugeuza gari tu kaanza kutext,too bad hajui hata kubembeleza...yani nakwambia huyo jamaa kutongoza inabidi aende shule hana hata tactics sio lazima kuongea mbinu ni nyingi ila alifeli ye kazoea kutumia mali zake kuvuta wadada...
 
Brenda 18 basi mimi nataka kukutoa out sina gari tutapanda daladala, kula kwa mama ntilie, sahau Mlimani City. Nina PhD ya kutongoza[emoji6] lakini kubembeleza kwenye kutongoza sijui hubembeleza wakati wa kula kiti moto tu.[emoji12] [emoji38]
 
Hahaha,kama tumependana na wote ni watafutaji hakuna shida,material things hupatikana tu...
 
Hahaha,kama tumependana na wote ni watafutaji hakuna shida,material things hupatikana tu...
Kupendana itakuja baadae. kwanza nikutoe out nijue kama itakuja second date au mchapa miguu sitokuwa na langu[emoji12] [emoji38] sikutwa nikakukopa mpaka hela ya bodaboda[emoji3]
 
Back
Top Bottom