Teh teh teh "Guys be like, natafuta driver, I got a new car........".[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Utaona tu wanatiana moyo, "wewe Tafuta tu pesa, utang'oa mademu wa kila aina". Naishiaga tu kuwaombea kimya kimya so that at least they can receive some good damn sense. Unatafuta hela kwa ajili ya mwanamke, geeeeez, you really need deliverance ASAP sweetheart. It's as if there is a special market where women are sold, yoi just go with your cash and buy a woman of your choice. Anyway, maybe your dreams are atill valid. Mwingine hela anazipata na bado hatakiwi maskini
Ila rejection inauma nyie, kiruuu. Mtu akikataliwa wenzie watamshauri "wewe muache tu, Tafuta hela, ataenda huko atachezewa afu akirudi kwako umeshafanikiwa na una familia yako". Kwamba mtu tu akikutaa basi lazima huko kwingine atachezewa, ila kujipa moyo muhimu na as if kuna SI Unit ya mafanikio kwamba rejection= Success. Ningetafuta watu na mie mbona wanikatae, wakirudi tu nishafanikiwa teh, simplee. Usikataliwe wewe nani jamani kwa mfano aghaaa, usisahau kuna kitu kinaitwa double coincidence of vigezo, so kuna mahali tu vigezo havitamatch . Kwa hiyo ukiwa huna hela ndo sharti ukubaliwe au, ukikataliwa tu "ooh kisa sina hela". Wanaume mjiamini tu jamani, hizo hela zenyewe za kukufanya ung'oe kila demu ziko wapi. Afu hata kama utataka kuhonga, Kila muhongwaji ana price yake, you will never afford some of them wahongwaji. Tafuta hela kwa ajili ya future yako kwanza na sio kwa ajili ya mwanamke.
#Meambizii#