Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Wanaume na ugonjwa wa kutokujiamini

Aisee brenda 18..nakushukuru kwa uzi wako..... Unaongea ukweli.. Huwa nawambia vijana wenzangu kua ishu sio gari.. Ni swala la kujiamini tu.. Huko nyuma kuna uzi ulikua una uliza kwanini wanaume hudanganya wakiws katika stage ya kutongoza.... Na alie leta mada alisema hakuna haja ya mwanaume kudanganya ishu ni kua muwazi tu.. And keeping it real....

Again kuhusu hii post naungana na wewe moja kwa moja moja...
Wanansema sijui mwanamke pesa ukitaka kula mzigo.. Lakini ukweli ni kwamba ishu ni namna unavyotemka kihisia mwanamke kwa kutumia maneno....

Mimi huwa wakiniambia niwatoe out nawapelekaga kwenye hizi pub... Za kawaida sana... Nawagizia magimbi maziwa au wali nyama....

Wakiniuliza una gari nawambia sina gari bali miguu yangu inatosha....
Nikiwambia naishi sehemu ya kawaida sana.... Wananibishia nadhani labda due to my big morphology.....wananganiza twende.... Nawambia tucheze mchezo wa kubet... Kua pakiwa pa kawaida...namtekenya maziwa.. Pasipo kua pa kawaida tamnunulia bikini.....
Basi tukienda ghetto...... Huwa mara nyingi nashinda..... Na anza kwa kuwa tekenya.... Then mengine tunafungia mechi....

A man is a man.. Wether sijui huna gari au huna nyumba.... You will always be a man....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] magimbi bro hapo hata mi utanikimbiza....nakubali kabisa mwanaume ni mwanaume tu, inamaana wanaume wasio na magari na pesa hawapati wanawake..? Wanaume wa mjini wengi wanaume suruali...
 
Teh teh teh "Guys be like, natafuta driver, I got a new car........".[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Utaona tu wanatiana moyo, "wewe Tafuta tu pesa, utang'oa mademu wa kila aina". Naishiaga tu kuwaombea kimya kimya so that at least they can receive some good damn sense. Unatafuta hela kwa ajili ya mwanamke, geeeeez, you really need deliverance ASAP sweetheart. It's as if there is a special market where women are sold, yoi just go with your cash and buy a woman of your choice. Anyway, maybe your dreams are atill valid. Mwingine hela anazipata na bado hatakiwi maskini

Ila rejection inauma nyie, kiruuu. Mtu akikataliwa wenzie watamshauri "wewe muache tu, Tafuta hela, ataenda huko atachezewa afu akirudi kwako umeshafanikiwa na una familia yako". Kwamba mtu tu akikutaa basi lazima huko kwingine atachezewa, ila kujipa moyo muhimu na as if kuna SI Unit ya mafanikio kwamba rejection= Success. Ningetafuta watu na mie mbona wanikatae, wakirudi tu nishafanikiwa teh, simplee. Usikataliwe wewe nani jamani kwa mfano aghaaa, usisahau kuna kitu kinaitwa double coincidence of vigezo, so kuna mahali tu vigezo havitamatch . Kwa hiyo ukiwa huna hela ndo sharti ukubaliwe au, ukikataliwa tu "ooh kisa sina hela". Wanaume mjiamini tu jamani, hizo hela zenyewe za kukufanya ung'oe kila demu ziko wapi. Afu hata kama utataka kuhonga, Kila muhongwaji ana price yake, you will never afford some of them wahongwaji. Tafuta hela kwa ajili ya future yako kwanza na sio kwa ajili ya mwanamke.

#Meambizii#
Hahaha kama kawaida yako...mumerusha kibomu, we mtoto wa kinyaki wewe una hatari..
 
Kila kitu kina exception, kwa hyo we jana ulifanya kitu ambacho asilimia chache sana ndo wana fanya (ulikamata mnyonge wako) ila sera ya gari ni muhim na ukiwa na gari (hata la kuazima) na pesa (hata za kuigizia) utang'oa weng sana.
Sawa sikatai, ila utazoa wa aina gani..uuups samahani nilisahau hamchagui shimo la kuzama
 
Haukimbi wala nini.. Tena utayala kwa raha mstarehe baada ya kukupa somo la umuhinu wa kula vitu vya asilia.....
Tena wadada nao wazingumzia ni hawa wanaofanya kazi posta...
Na mara nyingi huwa wanaishia kuniambia kua niko taofauti....

Wanasema walitegemea niagize sijui chips kuku sijui nyama choma..... Nawambiaga kwangu ni sili hivyo vitu.. Kwa sababu za kiafya.....
Asubuhi huwa naenda kazini na mihogo ya kunywea chai na ubuyu ule buku..

Na si unajua Brenda wadada wanavyopenda ubuyu... Anachukuja ananiomba ubuyu nawapa... Mazoea huwanzia hapo.. Siku nisipoleta wananiunia...
Wakiagiza chapati sijui... Mandazi... Mimi nakula miogo wangu wa kukangaa..... Au wakat mwingine naleta viazi vitamu...

Utakuta wanaacha kula chapat zao wanakimbilia mihogo yangu na viazi......hii inanisaidia sana ku establish rapport......

Namba za simu zinapatikana... Kiuharisi...
Money not needed brenda Just wits and intellingence needed...
 
brenda 18 nimekupenda bure hili ni zinga la msgiiii!!!
hebu njoo PM nikusifie zaidi
 
Hebu tupe huo mstari drake alisemaje...
Kwahio confidence yako hutegemea what you posses, kesho ukiamka huna kwisha habari yako...

Pretty much. Can't make a move, if I got no groove. The more I have to offer(not only material things), the more confident I will be.
 
drake anasifu pesa na umaarufu, ukiwa navyo maisha matamu sana, unazoa demu yoyote na unawagonganisha hata kwa makusudi ila watakung'ang'ania tu
Huo ni utumwa,maisha ni matamu bila hata kuwa na vitu hivyo, inamaana matajiri tu ndio wanaenjoy maisha?
 
Pretty much. Can't make a move, if I got no groove. The more I have to offer(not only material things), the more confident I will be.
Design yako ndio wanaume niliowaongelea hapa....umeshajiaminisha hivyo, kesho ukiamka huna sijui maisha yako yatasimama?
 
Haukimbi wala nini.. Tena utayala kwa raha mstarehe baada ya kukupa somo la umuhinu wa kula vitu vya asilia.....
Tena wadada nao wazingumzia ni hawa wanaofanya kazi posta...
Na mara nyingi huwa wanaishia kuniambia kua niko taofauti....

Wanasema walitegemea niagize sijui chips kuku sijui nyama choma..... Nawambiaga kwangu ni sili hivyo vitu.. Kwa sababu za kiafya.....
Asubuhi huwa naenda kazini na mihogo ya kunywea chai na ubuyu ule buku..

Na si unajua Brenda wadada wanavyopenda ubuyu... Anachukuja ananiomba ubuyu nawapa... Mazoea huwanzia hapo.. Siku nisipoleta wananiunia...
Wakiagiza chapati sijui... Mandazi... Mimi nakula miogo wangu wa kukangaa..... Au wakat mwingine naleta viazi vitamu...

Utakuta wanaacha kula chapat zao wanakimbilia mihogo yangu na viazi......hii inanisaidia sana ku establish rapport......

Namba za simu zinapatikana... Kiuharisi...
Money not needed brenda Just wits and intellingence needed...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kaka hufai...una maneno sana mpaka hapo nimeshaona wapi unapowakamatia, tena type yako hutoi kitu ila wanakumbania...kweli nguvu sio pesa
 
Back
Top Bottom