Mwanga artificial (blue light) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani

Joined
Mar 25, 2026
Posts
12
Reaction score
25
Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.

Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo.
Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa watu ndio wangeongoza kwa kupoteza nywele. Lakini bado zipo. Siri ni nini?

Kama una kawaida kusafiri kwenda mkoani chunguza watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo yaani ikifika usiku anawasha mshumaa au ni giza nene. Labda awe kibabu cha miaka 80 ndio utakuta ana kipara. Asilimia 99.999 ya watu wote nywele zao zipo kamili.

Kwanini Donnaruma hana nywele? Ana miaka 26? Goalkeeper wa Man City. Anafanya mazoezi muda wote. Na diet zao zinapangwa na "nutriotionists"? Ni kwamba amerithi au mazingira anayoishi ndio yanachangia?

Mimi nina mdogo wangu. Muda wake wote yupo kwenye simu. Muda mwingine mpaka saa nane usiku. Kila siku akienda kulala anaacha taa za chumba chake on. Na anafanya mazoezi ni basketballer ila nywele zake zimeanza kurudi nyuma. By the time Guardiola ana umri wa Arteta alikuwa hana nywele. Nimezunguka sana.

Ila siri ni hii MWANGA ARTIFICIAL (BLUE LIGHT) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani. Unakuta mtu ndani ya masaa 8 ya kazi amekaa kwenye PC.

Akitoka ofisini either yupo kwenye gari au kwenye bado yupo kwenye simu. Akirudi nyumbani taa za nyumba yake ni LED. Na hapo kabla ya kulala lazima afungue simu kwa lisaa au masaa mawili.

Ndio alale kila siku Nywele zinaanza kuwasha. Anakuna. Zinaanza kutoa "mchanga mweupe" anakuna.

Na mdogo mdogo zinaanza kupungua zenyewe. Ombaomba muda wote anapigwa na JUA KALI. Asubuhi, Mchana na Jioni na akienda kulala ni giza nene kila siku la kuamini hichi kitu.

Nenda kijijini au ishi msituni kwa miezi 6, bila simu au mwanga artificial wa LED.

Ukiamka asubuhi ni jua kali ukienda kulala ni giza nene. Nakuhakikishia nywele zako zote zitarudi.

Kama nywele zako zimeanza kupungua jitahidi jua la Asubuhi, Mchana na Jioni linagonga macho na mwili kwa angalau dakika 30 kila siku. Na punguza muda unaotumia kwenye PC na Simu na ikifika usiku lala by saa 4. Ndani ya miezi 6 au mwaka nywele zako zote zitarudi.

PS. Usije ukajiloga ukatumia FINASTERIDE. Au Minoxidil. Nguvu zako zote za kiume zitaisha!
1774605457926.png
 
Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala. Au hata mtaani kwenu.

Ukichunguza watu wanaolala barabarani. Au nje ya maduka.

Asilimia 99.999 hawana kipara.

Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani.

Bacteria wakutosha.

Ila nywele zao bado zipo.

Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa watu ndio wangeongoza kwa kupoteza nywele.

Lakini bado zipo.

Siri ni nini?

Kama una kawaida kusafiri kwenda mkoani.

Chunguza watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo.

Yaani ikifika usiku anawasha mshumaa au ni giza nene.

Labda awe kibabu cha miaka 80. Ndio utakuta ana kipara.

Asilimia 99.999 ya watu wote nywele zao zipo kamili.

Kwanini Donnaruma hana nywele?

Ana miaka 26? Goalkeeper wa Man City. Anafanya mazoezi muda wote.

Na diet zao zinapangwa na "nutriotionists"?

Ni kwamba amerithi au mazingira anayoishi ndio yanachangia?

Mimi nina mdogo wangu. Muda wake wote yupo kwenye simu.

Muda mwingine mpaka saa nane asubuhi.

Kila siku.

Akienda kulala anaacha taa za chumba chake on.

Na anafanya mazoezi. Ni basketballer.

Nywele zake zimeanza kurudi nyuma.

By the time Guardiola ana umri wa Arteta alikuwa hana nywele.

Nimezunguka sana.

Ila siri ni hii

MWANGA ARTIFICIAL (BLUE LIGHT) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani.

Unakuta mtu ndani ya masaa 8 ya kazi.

Amekaa kwenye pc.

Akitoka ofisini. Either yupo kwenye gari. Au kwenye. Bado yupo kwenye simu.

Akirudi nyumbani.

Taa za nyumba yake ni LED.

Na hapo kabla ya kulala lazima afungue simu kwa lisaa au masaa mawili.

Ndio alale.

KILA SIKU.

Nywele zinaanza kuwasha. Anakuna.

Zinaanza kutoa "mchanga mweupe" anakuna.

Na mdogo mdogo zinaanza kupungua zenyewe.

Ombaomba muda wote anapigwa na JUA KALI.

Asubuhi. Mchana. na Jioni.

Na akienda kulala ni giza nene.

KILA SIKU.

Ila kuamini hichi kitu.

Nenda kijijini. Au ishi msituni kwa miezi 6.

Bila simu. Au mwanga artificial wa LED.

Ukiamka asubuhi ni JUA KALI.

Ukienda kulala. Ni GIZA nene.

Nakuhakikishia nywele zako ZOTE zitarudi.

Kama nywele zako zimeanza kupungua. Jitahidi..

Jua la Asubuhi. Mchana. Na Jioni linagonga macho na mwili kwa angalau dakika 30 kila siku.

Na punguza muda unaotumia kwenye PC na Simu.

Na ilkifika usiku lala by saa 4.

Ndani ya miezi 6 au mwaka nywele zako zote zitarudi.

PS. Usije ukajiloga ukatumia FINASTERIDE. Au Minoxidil. Nguvu zako zote za kiume zitaisha!
Rubbish
 
Endelea kufanya utafiti mkuu. Je hizo sababu ni kwa jinsia zote au wanaume tu. Mbona wanawake hawana vipara? Maswali ni mengi kuliko majibu.
Kuna mshipa unaitwa galea aponeurotica

Upo zaidi kwenye vichwa vya wanaume kuliko wanawake.

Huo mshipa upo katikati ya kichwa.

Na ndio maana mtu hapotezi nywele pembeni bali hapo katikati.

Huo mshipa uko very sensitive na mwanga.

Wanawake hawapati kipara kwasababu huo mshipa ni mdogo kwenye vichwa vyao.
 
Kalisome vizuri tena hilo desa mdogo wangu kuna vitu umeviruka .
 
Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.

Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo.
Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa watu ndio wangeongoza kwa kupoteza nywele. Lakini bado zipo. Siri ni nini?

Kama una kawaida kusafiri kwenda mkoani chunguza watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo yaani ikifika usiku anawasha mshumaa au ni giza nene. Labda awe kibabu cha miaka 80 ndio utakuta ana kipara. Asilimia 99.999 ya watu wote nywele zao zipo kamili.

Kwanini Donnaruma hana nywele? Ana miaka 26? Goalkeeper wa Man City. Anafanya mazoezi muda wote. Na diet zao zinapangwa na "nutriotionists"? Ni kwamba amerithi au mazingira anayoishi ndio yanachangia?

Mimi nina mdogo wangu. Muda wake wote yupo kwenye simu. Muda mwingine mpaka saa nane usiku. Kila siku akienda kulala anaacha taa za chumba chake on. Na anafanya mazoezi ni basketballer ila nywele zake zimeanza kurudi nyuma. By the time Guardiola ana umri wa Arteta alikuwa hana nywele. Nimezunguka sana.

Ila siri ni hii MWANGA ARTIFICIAL (BLUE LIGHT) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani. Unakuta mtu ndani ya masaa 8 ya kazi amekaa kwenye PC.

Akitoka ofisini either yupo kwenye gari au kwenye bado yupo kwenye simu. Akirudi nyumbani taa za nyumba yake ni LED. Na hapo kabla ya kulala lazima afungue simu kwa lisaa au masaa mawili.

Ndio alale kila siku Nywele zinaanza kuwasha. Anakuna. Zinaanza kutoa "mchanga mweupe" anakuna.

Na mdogo mdogo zinaanza kupungua zenyewe. Ombaomba muda wote anapigwa na JUA KALI. Asubuhi, Mchana na Jioni na akienda kulala ni giza nene kila siku la kuamini hichi kitu.

Nenda kijijini au ishi msituni kwa miezi 6, bila simu au mwanga artificial wa LED.

Ukiamka asubuhi ni jua kali ukienda kulala ni giza nene. Nakuhakikishia nywele zako zote zitarudi.

Kama nywele zako zimeanza kupungua jitahidi jua la Asubuhi, Mchana na Jioni linagonga macho na mwili kwa angalau dakika 30 kila siku. Na punguza muda unaotumia kwenye PC na Simu na ikifika usiku lala by saa 4. Ndani ya miezi 6 au mwaka nywele zako zote zitarudi.

PS. Usije ukajiloga ukatumia FINASTERIDE. Au Minoxidil. Nguvu zako zote za kiume zitaisha!​
 
Hii kitu huenda ni ukwel mim najishangaa ata miaka 30 sijafkisha nywele zmeanza kuwa nyepes nina miaka 23.

Huwa nawaza nimerithi wapi upara? pande zote za wazaz wang wananywele nyingi ata babu hakua na kipara.

Saiv zmebak nyepes kwa mbele bdo hazijaisha zote.

Kiukwel simu nmetumia nikiwa mdogo na nililala mda umeenda siku zingne nilikesha npo mtandaoni.
Hadi saiv nishakua kama mlevi wa simu, nispotumia sim najikuta kama sipo sawa iv.

Mda mwingne nawaza mbelen macho yataathilika kutokana na mwanga wa sim ila kujizuia nisha shindwa.
Nishakua addicted.

hadi saiv mda mwing kwa siku huenda masaa zaidi ya 15 natumia sim na mengne ndo nalala nahapo utakuta nalala usku wa saa 6 au saba na bila kushka sim huenda usingz nispate rabda niwe nimechoka na kaz ndo ntapata usingz bila sim.

ata mda huu naandka iv nisaa tisa usiku saiv sijalala.

ntajitahid niwe mbal na simu
PIA NAOMBA NJIA JINSI YA KURUDISHA NYWELE ZIJAE TENA
 
Saa tisa usiku upo online kweli lazma uwe na upara
 
Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.

Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo.
Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa watu ndio wangeongoza kwa kupoteza nywele. Lakini bado zipo. Siri ni nini?

Kama una kawaida kusafiri kwenda mkoani chunguza watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo yaani ikifika usiku anawasha mshumaa au ni giza nene. Labda awe kibabu cha miaka 80 ndio utakuta ana kipara. Asilimia 99.999 ya watu wote nywele zao zipo kamili.

Kwanini Donnaruma hana nywele? Ana miaka 26? Goalkeeper wa Man City. Anafanya mazoezi muda wote. Na diet zao zinapangwa na "nutriotionists"? Ni kwamba amerithi au mazingira anayoishi ndio yanachangia?

Mimi nina mdogo wangu. Muda wake wote yupo kwenye simu. Muda mwingine mpaka saa nane usiku. Kila siku akienda kulala anaacha taa za chumba chake on. Na anafanya mazoezi ni basketballer ila nywele zake zimeanza kurudi nyuma. By the time Guardiola ana umri wa Arteta alikuwa hana nywele. Nimezunguka sana.

Ila siri ni hii MWANGA ARTIFICIAL (BLUE LIGHT) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani. Unakuta mtu ndani ya masaa 8 ya kazi amekaa kwenye PC.

Akitoka ofisini either yupo kwenye gari au kwenye bado yupo kwenye simu. Akirudi nyumbani taa za nyumba yake ni LED. Na hapo kabla ya kulala lazima afungue simu kwa lisaa au masaa mawili.

Ndio alale kila siku Nywele zinaanza kuwasha. Anakuna. Zinaanza kutoa "mchanga mweupe" anakuna.

Na mdogo mdogo zinaanza kupungua zenyewe. Ombaomba muda wote anapigwa na JUA KALI. Asubuhi, Mchana na Jioni na akienda kulala ni giza nene kila siku la kuamini hichi kitu.

Nenda kijijini au ishi msituni kwa miezi 6, bila simu au mwanga artificial wa LED.

Ukiamka asubuhi ni jua kali ukienda kulala ni giza nene. Nakuhakikishia nywele zako zote zitarudi.

Kama nywele zako zimeanza kupungua jitahidi jua la Asubuhi, Mchana na Jioni linagonga macho na mwili kwa angalau dakika 30 kila siku. Na punguza muda unaotumia kwenye PC na Simu na ikifika usiku lala by saa 4. Ndani ya miezi 6 au mwaka nywele zako zote zitarudi.

PS. Usije ukajiloga ukatumia FINASTERIDE. Au Minoxidil. Nguvu zako zote za kiume zitaisha!
View attachment 3563312​
Umesema ulifanya utafiti? Kwa sample size gani na kwa maeneo yapi hasa?
 
Umeongea points tupu.. uzi makini huu. Cha muhimu watu wenye vipara waanze kulala barabarani, wale vitu vya majalalani au waende vijijini waishi kwenye nyumba za udongo na watumie mshumaa. Pia wakikaa juani kama ombaomba itawasaidia. Tatizo watu wamekuwa wabishi sidhani kama watakubali kufuata ushauri wako.
 
Back
Top Bottom