Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.............

ila bora umewaambia I hope watajirekebisha wanapoweza


Ni ombi langu kubwa sana kwao, waweze kukumbuka na kupalilia mhogo
wengine tunapenda sana kula mihogo sasa ukikuta nyasi inaboa sana
 
Sema kwenye boxer...inabidi wanaume tupatizame kwa jicho la tatu..maana kuna wenzetu mpaka zikitupwa nzi wanazikimbia..au mbwa wanabeba wanajua ngozi ya mzoga..
 
siwezi kupoteza muda wangu kwa kunyoa tu, au hujui kama ni kazi ngumu hiyo......wacha nitafute hela asee
 
Mkuu wiki ni siku saba, maswala ya kubadilisha mara 4 ni ujinga..
Boxer inabadilishwa kila siku, tena ikiwezekana hata kwa wiki moja zivaliwe zaidi ya saba, angalau 10..

kwa hiyo utakua unakaa tu nyumbani kusubiri muda wa kubadilisha boxer? ww kweri debe tupu
 
Bora ukamnyoe maana dah! hata kula muhogo kuna kuwa tabu
shamba linakuwa halijapapaliliwa

Anaijua kazi yake vyema maana wakati ananinyowa huwa anapapasa muhogo nao unawika balaa.... Kinachoendelea tunajua wenyewe...
 
Anyway kitu nilichonote kunyoa vuzi ni wanaume wa Tz nia tu may be kwakuwa ni joto au usafi kuukeep ni ngumu,but kuna nchi like Uk au Uganda etc...mwanaume ukiwa na kipara kwenye kwapa au chini wewe ni gay na mwanamke anakuona mshamba kabisa ile ya how your papuchi is like mine?...vuzi kwa mwanaume linatia hamasa cha muhimu uwe msafi
 
hata wanawake wapo wenye mavuzi hawanyoi. Hata unashindwa kwenda chumvini.

Vyupi tunawanunulia sisi,kisha mwajisifu wasafi.

Hamnalolote.
 
kwa hiyo utakua unakaa tu nyumbani kusubiri muda wa kubadilisha boxer? ww kweri debe tupu
Haina noma mimi binadamu kuitwa debe since even your name explains t all.
Ila kama unabadilisha boxer 4 times a week n unaona nimekugusa then u really got a problem. Kwani kubadili boxer kila siku shida unakaa kusema ati utakaa unasubiri muda wa kubadilisha boxer, u wanna tell me hua huogi daily? Au unawezaje ukaoga afu ukatoka na boxer ile ile? boxer nne kwa wiki means kuna siku hapo baadhi ulivaa boxer ile ile, then unasema mimi debe tupu, haha thanks a lot mkuu ila hunijui ni nani so never abuse someone u don't know, hulipwi humu jamii forum au hata ukipewa like moja it won't add u a thing, Just from ur comment ninaweza toa hypothesis kwanza either ni mwanafunzi afu mchafu, pili u r quite poor in thinkin about stuffz, au si mwanafunzi but ulifeli, au umefaulu ila huna kazi, au unakazi ila ya ovyo, kwa mtu asiye na sifa hizi hawezi kusema wearing 7+boxers kwa wiki ni ujinga ati yuko busy, upo busy hadi huogi? How ignorant can u be man, really u scare me, hata anayechimba dhahabu mgodini anaoga
 
Back
Top Bottom