Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Mkuu hata angekuwa mzuri kiasi. Nitongoze leo halafu unipe au useme unakuja home kulala. Ha ha ha nitakuwa namashaka na uanamke wake.Kwani kumpa siku hiyo hiyo na kuchelewa kumpa inabadilisha kipi hasa? Kama nia yake ni kupiga chata hata ukimcheleweshea simulation ukimpa atapiga afu atasepa zake
Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
Kwani nia ya mwongozo ni nini kama sio ku do
Dah kumbe na ww unayo maswali kama yanguKwanza nikuulize we ni ME au ni KE?!
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Mpe tuuh..! Yaani ningekuwa mimi nimekuomba afu unaitangaza ugenitambua aisei..!Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Sasa bibie mbona nyie mnakuwaga na haraka ya kuomba pesa sisi hatulalamiki!?Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Mimi najuaga mnatupa companySisi Huwa tunawatongoza mtupe mchezo au nyie huwa mnajua tunataka campany?
Ntakujibu siku nyingine. Ngoja nilaleHahahaa![]()
![]()
![]()
unataka uchune ndiyo utoboke ?
Wala sijawahi kujinadi maana najua siwezi kuhimili mikiki mikiki ya mizinga lakini wanakomalia mpaka naamua kupotezea na wanakimbiaLabda huwa unajinadi sana kuwa upo vizuri
Raha ya mapenzi kupeana tendo, ushaambiwa ukitaka cha uvunguni sharti .......!!!Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Na mm nishtuliwe tafadhal!Wakikujibu hii issue ya kutuomba mapesa kabla ya mgegedo nishtue!!