Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
huo cjui utakua uchi wa namna ganiYani nikae mwaka kusubiri uch.i?!...mtt mwenyewe anakaa tumboni miezi 9 tu
huo cjui utakua uchi wa namna ganiYani nikae mwaka kusubiri uch.i?!...mtt mwenyewe anakaa tumboni miezi 9 tu
Angalau hata mwaka
ss kwan ubaya uko wp mamiiYani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Acha roho mbaya mkuuHabari zenu waungwana,
Nina swali moja leo kwa wanaume;
Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?
Karibuni kwenye mada
ndio hivyoahahahaaa rais mwenyewe kathibitisha
AhahaaaaaWanaume mkuje mjibu huku... Muwe mnavutamo walau ka wiki basi
Jamani mimi natafuta mwanamke mwenye umri 22-25..Pm plsAhahaaaaa
Iko hivi.. Perfect practices make Perfect... Au kwa lugha lain repitition makes Perfect... Au the more you do the expert you become... Yaani ukifanya mara nyingi na kwa watu tofauti unakuwa profecional au expert kwa hayo makitu...Habari zenu waungwana,
Nina swali moja leo kwa wanaume;
Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?
Karibuni kwenye mada
Mbona nyie mkitukubalia siku hiyo hiyo mnaanza kuomba hela??Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
UongoMwanamke ukimtongoza na vibomu vinaanza siku hiyohiyo,ila kutoa siku hiyo hamtaki,sasa unatoa hutoi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeanza kukupenda toka juzi ujueUongo